Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

NI MISRI YA SALAH NA SENEGAL YA MANE FAINALI AFCON 2021.

TIMU ya taifa ya Misri imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa penalti 3-1 kufuatia sare ya bila kufungana na wenyeji, Cameroon ndani ya dakika ya 120 usiku wa Alhamisi Uwanja wa Paul Biya Jijini Yaoundé.

Kipa wa klabu ya Zamalek, Mohamed Abou Gaba ‘Gabaski’ ndiye aliyeibuka shujaa wa Mafarao kwa kucheza penalti mbili za nyota wa Simba Wasiofungika, Harold Moukoudi na James Lea Siliki, wakati mkwaju wa zamani wa Tottenham Hotspur, Clinton N'Jie uliota mbaya.

Waliofunga penalti za Misri ni

Ahmed Mostafa Mohamed ‘Zizo’, Mohamed Abdelmonem na Mohanad Lasheen na sasa Mafarao watakutana na Senegal katika Fainali tamu ya AFCON 2021 Jumapili hapo hapo Paul Biya .

Kocha wa Mreno wa Misri, Carlos Queiroz alitolewa kwa kadi nyekundu na refa Mgambia, Bakary Papa Gassama baada ya kupingana na maamuzi kipindi cha pili.

Utakuwa usiku mzuri wa kuwashudia washambuliaji wawili nyota wa Liverpool, Mohamed Salah wa Misri na Sadio Mane wa Senegal wakiyapigania mataifa yao baina yao uwanjani.

Cameroon watajaribu kupoza machungu kwa kumenyana na Burkina Faso katika mechi y kuwania nafasi ya tatu, ambayo itachezwa Jumamosi.

[QUOTE="vuligate, post: 721, member: 123"] [HEADING=2]NI MISRI YA SALAH NA SENEGAL YA MANE FAINALI AFCON 2021.[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiNxUA80rejsCNT5qUVBXPJi8qIerGmSmBp5KTAhXp-t5ykWKOgW6cJiQBogXrNiSyzMQmNgSU5tHXLqJEYulZEK5cAnKJc-HA_8qLAt-4hRfRfDXgKuc0K3XOgeNiDFzXby4s_D_H7N9ookpZiclPsItzOq0uIEHxpj5vxYhf_h9HHFhq2XlcDk4nW=s634'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiNxUA80rejsCNT5qUVBXPJi8qIerGmSmBp5KTAhXp-t5ykWKOgW6cJiQBogXrNiSyzMQmNgSU5tHXLqJEYulZEK5cAnKJc-HA_8qLAt-4hRfRfDXgKuc0K3XOgeNiDFzXby4s_D_H7N9ookpZiclPsItzOq0uIEHxpj5vxYhf_h9HHFhq2XlcDk4nW=w640-h436[/IMG][/URL] TIMU ya taifa ya Misri imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa penalti 3-1 kufuatia sare ya bila kufungana na wenyeji, Cameroon ndani ya dakika ya 120 usiku wa Alhamisi Uwanja wa Paul Biya Jijini Yaoundé. Kipa wa klabu ya Zamalek, Mohamed Abou Gaba ‘Gabaski’ ndiye aliyeibuka shujaa wa Mafarao kwa kucheza penalti mbili za nyota wa Simba Wasiofungika, Harold Moukoudi na James Lea Siliki, wakati mkwaju wa zamani wa Tottenham Hotspur, Clinton N'Jie uliota mbaya. Waliofunga penalti za Misri ni Ahmed Mostafa Mohamed ‘Zizo’, Mohamed Abdelmonem na Mohanad Lasheen na sasa Mafarao watakutana na Senegal katika Fainali tamu ya AFCON 2021 Jumapili hapo hapo Paul Biya . Kocha wa Mreno wa Misri, Carlos Queiroz alitolewa kwa kadi nyekundu na refa Mgambia, Bakary Papa Gassama baada ya kupingana na maamuzi kipindi cha pili. Utakuwa usiku mzuri wa kuwashudia washambuliaji wawili nyota wa Liverpool, Mohamed Salah wa Misri na Sadio Mane wa Senegal wakiyapigania mataifa yao baina yao uwanjani. Cameroon watajaribu kupoza machungu kwa kumenyana na Burkina Faso katika mechi y kuwania nafasi ya tatu, ambayo itachezwa Jumamosi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom