Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kushere Ubingwa wa AFCON, Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko ya Kitaifa.

Rais wa Senegal, Macky Sall ametangaza kuwa leo Jumatatu Februari 7, 2022 ni mapumziko kitaifa ili watu washerehekee ushindi wa timu ya taifa ya Senegal baada ya kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2021.

Rais huyo ambae alifuatilia fainali akiwa nje ya nchi, ameahirisha pia safari yake nje ya nchi ili awakaribishe Mabingwa hao Ikulu ambapo nyota hao wa soka watarejea nchini kwao leo Jumatatu, Februari 7. “Tumeongoja ushindi huu kwa miaka 60,” amesema Rais Sall.

Senegal waliishinda Misri 4-2 kwa mikwaju ya penalti na kupata ushindi wao baada ya fainali kumalizika bila kufungana iliyofuatiwa na muda wa nyongeza.

[QUOTE="vuligate, post: 771, member: 123"] [HEADING=1]Kushere Ubingwa wa AFCON, Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko ya Kitaifa.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/Macky-Sall-senegal-1.jpg[/IMG] Rais wa Senegal, Macky Sall ametangaza kuwa leo Jumatatu Februari 7, 2022 ni mapumziko kitaifa ili watu washerehekee ushindi wa timu ya taifa ya Senegal baada ya kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2021. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/Macky-Sall-senegal-2.jpg[/IMG] Rais huyo ambae alifuatilia fainali akiwa nje ya nchi, ameahirisha pia safari yake nje ya nchi ili awakaribishe Mabingwa hao Ikulu ambapo nyota hao wa soka watarejea nchini kwao leo Jumatatu, Februari 7. “Tumeongoja ushindi huu kwa miaka 60,” amesema Rais Sall. Senegal waliishinda Misri 4-2 kwa mikwaju ya penalti na kupata ushindi wao baada ya fainali kumalizika bila kufungana iliyofuatiwa na muda wa nyongeza. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
AFCON Thread
Top
Bottom