AFRICAN TEAMS Vs MAKOCHA WAZAWA.

Paschal Mdee

Mgeni
Nov 29, 2022
2
8
5
Zamani Team za Africa zilikuwa na makocha ila wachezaji wazuri walikuwa wachache katika kila team.
Now Africa has pure Talents za modern day football and well blended, but wanaforce kuwa Supreme kama Whites kuwapa makocha wazawa.
Eg: Ghana with the talents in their Tank 🔥
Tho Kocha wao Yupo Europe lakini BADO.
Team Za Africa zikipata tacticians♥️