AGGREY, MUDATHIR WAREJEA KUNDINI.

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
WACHEZAJI watatu, beki Aggrey Morris na viungo Mudathir Yahya na Salum Abubakar 'Sure Boy' waliokuwa wamesimamishwa kwa utovu wa nidhamu Azam FC wamesamehewa kuelekea mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting Alhamisi
 

Attachments

  • azam.PNG
    azam.PNG
    948.5 KB · Somwa: 0