Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ahoua Jean Charles usajili bora zaidi Tanzania
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Sio sababu ni MVP Ivory Coast pekee. Hapana. Hadi sasa tumeshuhudia wachezaji bora Ivory Coast wanatua katika ardhi Yetu. Aziz Ki na Pacome huwezi acha kuwataja - moja ya sajili bora kabisa katika ardhi zetu.

Hakuna anayepinga Aziz Ki na Pacome ni wachezaji bora katika league yetu. Sasa jaribu kufikiri huu ubora waliokua nao wangekua ni chini ya miaka 23 au hata 25? Sidhani kama ingekuwa ni rahisi kuwapata au kuwalinda katika league yetu. Lakini hao niliowataja tunaweza kuwapata au kuwalinda sababu tayari ni jioni. Jioni kwa maana ya kuwa ukiwa above 26 ni ngumu sana kucheza nje ya Africa.

Pia tunakubaliana kuwa West Africa ndio feeder wazuri wa League 2 -League 1 (France) pia kidogo North Africa. Hivyo basi wachezaji wadogo wengi wenye vipaji vikubwa huwa tunategemea basi safari yao ni League 2 au wameshindwa sana basi ni North Africa.

Leo Simba inaenda kumtambulisha MVP wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 22 katika ardhi ya Tanzania. Hili sio jambo dogo hata kidogo. Wengi watachukua jambo la kawaida, ila kiuhalisia ni jambo kubwa sana.

Wengi watasema labda ni garasa, hajui mpira. Nitaomba huyo mtu anitajie ni mwaka gani League 1- Ivory Coast ilizalisha MVP mwenye kiwango cha kawaida? Tofauti, na nchi nyingine, ile league haina ushindani kama maana ubora katika ramani ya soka Africa, ila ni ardhi yenye vipaji vikubwa sana.

Kufuatia kile nilichokieleza basi bila kigugumizi, natamka kuwa huu ndio usajili bora kwa Tanzania katika miaka ya hivi karibuni.

[QUOTE="Bakari, post: 6358, member: 2316"] Sio sababu ni MVP Ivory Coast pekee. Hapana. Hadi sasa tumeshuhudia wachezaji bora Ivory Coast wanatua katika ardhi Yetu. Aziz Ki na Pacome huwezi acha kuwataja - moja ya sajili bora kabisa katika ardhi zetu. Hakuna anayepinga Aziz Ki na Pacome ni wachezaji bora katika league yetu. Sasa jaribu kufikiri huu ubora waliokua nao wangekua ni chini ya miaka 23 au hata 25? Sidhani kama ingekuwa ni rahisi kuwapata au kuwalinda katika league yetu. Lakini hao niliowataja tunaweza kuwapata au kuwalinda sababu tayari ni jioni. Jioni kwa maana ya kuwa ukiwa above 26 ni ngumu sana kucheza nje ya Africa. Pia tunakubaliana kuwa West Africa ndio feeder wazuri wa League 2 -League 1 (France) pia kidogo North Africa. Hivyo basi wachezaji wadogo wengi wenye vipaji vikubwa huwa tunategemea basi safari yao ni League 2 au wameshindwa sana basi ni North Africa. Leo Simba inaenda kumtambulisha MVP wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 22 katika ardhi ya Tanzania. Hili sio jambo dogo hata kidogo. Wengi watachukua jambo la kawaida, ila kiuhalisia ni jambo kubwa sana. Wengi watasema labda ni garasa, hajui mpira. Nitaomba huyo mtu anitajie ni mwaka gani League 1- Ivory Coast ilizalisha MVP mwenye kiwango cha kawaida? Tofauti, na nchi nyingine, ile league haina ushindani kama maana ubora katika ramani ya soka Africa, ila ni ardhi yenye vipaji vikubwa sana. Kufuatia kile nilichokieleza basi bila kigugumizi, natamka kuwa huu ndio usajili bora kwa Tanzania katika miaka ya hivi karibuni. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ahoua Jean Charles usajili bora zaidi Tanzania
Top
Bottom