Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Hisa na Hati fungani za serikali
AINA ZA UWEKEZAJI KATIKA HISA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kuna wafugaji wanapenda sana kununua ndama kule mnadani (minada mingi ya vijijini huwa zinauzwa ng'ombe, mbuzi na kondoo) kwaajili ya kuwakuza na kuja kuwaletea faida hapo baadae lakini kuna wale wafugaji ambao hupenda kununua ng'ombe ambao tayari ni wakubwa lakini mara nyingi huwa ni kwaajili ya maziwa ambao pengine hawakui tena!

Hivyohivyo kwa upande wa wafugaji wa kuku, kuna wanaonunua kuku vifaranga ili wawakuze waje kuzaliana zaidi na kuna wanaonunua kuku kwaajili ya mayai na kuna wanaonunua kuku kwaajili ya kupata nyama tu!

Hivyo basi kama unanunua kuku wa mayai usitegemee atakuwa na nyama nzuri sana kuliko yule kuku wa nyama. Hivi ndivyo pia wawekezaji katika hisa wanavyofanya.

Kuna wawekezaji hupenda kununua hisa zinazokua (Growth Stocks) na kuna wanaopenda kununua hisa kwaajili ya gawio (Dividend Stocks), hisa kama za TBL, TCC ni hisa ambazo hazikui tena lakini ni hisa nzuri kwa gawio (hizi ndiyo hisa zinazotoa gawio kubwa Tanzania) lakini hisa za kampuni kama CRDB, TPCC, NICOL ama NMB ni hisa ambazo zinakua (bei na thamani zitaongezeka) hivyo ni nzuri kwa mwekezaji mwenye malengo ya muda mrefu.

Hivyo mwekezaji anapoenda sokoni analazimika kuchagua, kuwekeza kwenye hisa zinazokua ama kwenye hisa ambazo zitampatia gawio kila baada ya miezi 6 ama miezi 12. Mwekezaji anashauriwa kuwa na malengo kabla ya kuwekeza, malengo hayo yaweza kuwa ya muda mfupi (kupata gawio) na malengo ya muda mrefu (kusubiri hisa zipande bei zaidi ya alivyonunua) na aweze kuziuza na kupata faida.

[QUOTE="Muwekezaji, post: 60, member: 21"] Kuna wafugaji wanapenda sana kununua ndama kule mnadani (minada mingi ya vijijini huwa zinauzwa ng'ombe, mbuzi na kondoo) kwaajili ya kuwakuza na kuja kuwaletea faida hapo baadae lakini kuna wale wafugaji ambao hupenda kununua ng'ombe ambao tayari ni wakubwa lakini mara nyingi huwa ni kwaajili ya maziwa ambao pengine hawakui tena! Hivyohivyo kwa upande wa wafugaji wa kuku, kuna wanaonunua kuku vifaranga ili wawakuze waje kuzaliana zaidi na kuna wanaonunua kuku kwaajili ya mayai na kuna wanaonunua kuku kwaajili ya kupata nyama tu! Hivyo basi kama unanunua kuku wa mayai usitegemee atakuwa na nyama nzuri sana kuliko yule kuku wa nyama. Hivi ndivyo pia wawekezaji katika hisa wanavyofanya. Kuna wawekezaji hupenda kununua hisa zinazokua (Growth Stocks) na kuna wanaopenda kununua hisa kwaajili ya gawio (Dividend Stocks), hisa kama za TBL, TCC ni hisa ambazo hazikui tena lakini ni hisa nzuri kwa gawio (hizi ndiyo hisa zinazotoa gawio kubwa Tanzania) lakini hisa za kampuni kama CRDB, TPCC, NICOL ama NMB ni hisa ambazo zinakua (bei na thamani zitaongezeka) hivyo ni nzuri kwa mwekezaji mwenye malengo ya muda mrefu. Hivyo mwekezaji anapoenda sokoni analazimika kuchagua, kuwekeza kwenye hisa zinazokua ama kwenye hisa ambazo zitampatia gawio kila baada ya miezi 6 ama miezi 12. Mwekezaji anashauriwa kuwa na malengo kabla ya kuwekeza, malengo hayo yaweza kuwa ya muda mfupi (kupata gawio) na malengo ya muda mrefu (kusubiri hisa zipande bei zaidi ya alivyonunua) na aweze kuziuza na kupata faida. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Hisa na Hati fungani za serikali
AINA ZA UWEKEZAJI KATIKA HISA
Top
Bottom