Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ajax yakaribishwa Tanzania
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Soka ya Ajax ya Uholanzi ili itangaze vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia matangazo ya jezi na mbao za matangazo (billboards) uwanjani.

D. Ndumbaro amebainisha hayo leo alipokutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa klabu hiyo wakiongozwa na Tanja Dik, Afisa Mkuu wa Uwanja na Han Mouton, Mkurugenzi wa Fedha wa timu hiyo.

Katika mazungumzo yao, Dk. Ndumbaro amewasilisha nia ya Tanzania kushirikiana na Klabu ya Ajax katika kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia matangazo kwenye jezi na mbao za matangazo zilizopo katika iwanja wa klabu hiyo.

"Mazungumzo yetu yameenda vizuri na viongozi hao wamepokea pendekezo na ombi letu na kuahidi kulifikisha kwenye idara husika ya biashara pia kuendeleza mawasiliano na Ubalozi wetu uliopo hapa kuangalia namna ya kutekeleza nia hii," amesema Dk. Ndumbaro.

Katika hatua nyingine, Dk Ndumbaro ametembelea na kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu kubwa ya golf nchini Uholanzi ya GC BurgGolf Westerpark, Zoetermeer.

Katika mazungumzo yake na Meneja mauzo na matukio, Eline Dujardin na mkufunzi katika klabu hiyo Ronald Mos, Dk Ndumbaro amewasilisha pendekezo la Tanzania kushirikiana na klabu hiyo katika kuandaa tamasha la golf litakalofahamika kwa jina la "Mt. Kilimanjaro Open".

Hata hivyo, pendekezo limepokelewa vizuri na viongozi wa klabu hiyo na kuahidi kuwasiliana zaidi kupitia Ubalozi ili kuangalia namna bora ya kulitekeleza.

Waziri Ndumbaro amefanya ziara hiyo ya kikazi nchini Uholanzi kwa lengo la kutafuta fursa za kutangaza vivutio vya Utalii vya Tanzania nchi humo.

Aidha, Waziri Dk Ndumbaro amepata fursa ya kufanya mazungumzo na Irene Kasyanju, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi pamoja na watumishi wa ubalozi huo.

Akizungumza na watumishi hao, Dk Ndumbaro amewaeleza mwelekeo wa Wizara katika kutangaza utalii ikiwemo uanzishwaji wa vifurushi vya wanafunzi (student package), matumizi ya utangazaji utalii kidijitali , utangazaji kupitia michezo, vyombo vya habari , watu maarufu wenye ushawishi duniani na mabalozi wa hiari wa utalii.

[QUOTE="vuligate, post: 1195, member: 123"] [IMG alt="ajax pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3739650/f1259471351050cf6802e8abebb0da08/ajax-pic-data.jpg[/IMG] Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Soka ya Ajax ya Uholanzi ili itangaze vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia matangazo ya jezi na mbao za matangazo (billboards) uwanjani. D. Ndumbaro amebainisha hayo leo alipokutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa klabu hiyo wakiongozwa na Tanja Dik, Afisa Mkuu wa Uwanja na Han Mouton, Mkurugenzi wa Fedha wa timu hiyo. Katika mazungumzo yao, Dk. Ndumbaro amewasilisha nia ya Tanzania kushirikiana na Klabu ya Ajax katika kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia matangazo kwenye jezi na mbao za matangazo zilizopo katika iwanja wa klabu hiyo. "Mazungumzo yetu yameenda vizuri na viongozi hao wamepokea pendekezo na ombi letu na kuahidi kulifikisha kwenye idara husika ya biashara pia kuendeleza mawasiliano na Ubalozi wetu uliopo hapa kuangalia namna ya kutekeleza nia hii," amesema Dk. Ndumbaro. Katika hatua nyingine, Dk Ndumbaro ametembelea na kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu kubwa ya golf nchini Uholanzi ya GC BurgGolf Westerpark, Zoetermeer. Katika mazungumzo yake na Meneja mauzo na matukio, Eline Dujardin na mkufunzi katika klabu hiyo Ronald Mos, Dk Ndumbaro amewasilisha pendekezo la Tanzania kushirikiana na klabu hiyo katika kuandaa tamasha la golf litakalofahamika kwa jina la "Mt. Kilimanjaro Open". Hata hivyo, pendekezo limepokelewa vizuri na viongozi wa klabu hiyo na kuahidi kuwasiliana zaidi kupitia Ubalozi ili kuangalia namna bora ya kulitekeleza. Waziri Ndumbaro amefanya ziara hiyo ya kikazi nchini Uholanzi kwa lengo la kutafuta fursa za kutangaza vivutio vya Utalii vya Tanzania nchi humo. Aidha, Waziri Dk Ndumbaro amepata fursa ya kufanya mazungumzo na Irene Kasyanju, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi pamoja na watumishi wa ubalozi huo. Akizungumza na watumishi hao, Dk Ndumbaro amewaeleza mwelekeo wa Wizara katika kutangaza utalii ikiwemo uanzishwaji wa vifurushi vya wanafunzi (student package), matumizi ya utangazaji utalii kidijitali , utangazaji kupitia michezo, vyombo vya habari , watu maarufu wenye ushawishi duniani na mabalozi wa hiari wa utalii. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ajax yakaribishwa Tanzania
Top
Bottom