AJIB ANA TATIZO GANI?

Balyx_

Mgeni
Dec 19, 2022
93
72
5
Alipojuinga na Azam Fc imani za mashabiki wa Soka Bongo juu ya uwezo wake zilifufuka upya, ila baada ya kufika akaanza kuota kitambi badala ya kufunga magoli na kutoa assists. Je ataweza kuinuka tena huko Singida Big Stars?