Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Al Ahly uso kwa uso na Madrid
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Miamba ya soka barani Afrika Al Ahly ya Misri wataingia uwanjani hii leo kuvaana na mabingwa mara nyingi wa ulaya Real Madrid katika michuano ya klabu bingwa duniani.

Al Ahly wameingia kwenye michuano hii akiwa mshindi wa pili wa klabu bingwa Afrika baada ya kupoteza kwenye fainali dhidi ya Wydad Casablanca, ambaye yeye aliingia kama muandaji wa michuano hii inayofanyika nchini Morocco, wakati Real Madrid ameshiriki akiwa bingwa wa ulaya.

Bingwa huyo mara 10 kwenye michuano ya Afrika amefanikiwa kuingia hatua hii ya nusu fainali mara tatu mfululizo huku akiishia kwenye hatua hiyo mara zote,wakati Real Madrid yeye amefanikiwa kutwaa taji hilo kila akifanikiwa kushiriki michuano hiyo.

Kumbuka Tp Mazembe pekee ndio timu kutoka Afrika iliyofanikiwa kucheza fainali ya klabu bingwa duniani, mwaka 2009 dhidi ya Inter Milan na kupoteza kwa magoli 3-0.

Ipi nafasi ya mwakilishi kutoka Afrika Al Ahly, je anaenda kuvunja mwiko wa kutokuingia fainali au ataendeleza rekodi ya kuishia hatua hiyo dhidi ya Madrid?.

[QUOTE="Sports journalist, post: 3212, member: 622"] Miamba ya soka barani Afrika Al Ahly ya Misri wataingia uwanjani hii leo kuvaana na mabingwa mara nyingi wa ulaya Real Madrid katika michuano ya klabu bingwa duniani. Al Ahly wameingia kwenye michuano hii akiwa mshindi wa pili wa klabu bingwa Afrika baada ya kupoteza kwenye fainali dhidi ya Wydad Casablanca, ambaye yeye aliingia kama muandaji wa michuano hii inayofanyika nchini Morocco, wakati Real Madrid ameshiriki akiwa bingwa wa ulaya. Bingwa huyo mara 10 kwenye michuano ya Afrika amefanikiwa kuingia hatua hii ya nusu fainali mara tatu mfululizo huku akiishia kwenye hatua hiyo mara zote,wakati Real Madrid yeye amefanikiwa kutwaa taji hilo kila akifanikiwa kushiriki michuano hiyo. Kumbuka Tp Mazembe pekee ndio timu kutoka Afrika iliyofanikiwa kucheza fainali ya klabu bingwa duniani, mwaka 2009 dhidi ya Inter Milan na kupoteza kwa magoli 3-0. Ipi nafasi ya mwakilishi kutoka Afrika Al Ahly, je anaenda kuvunja mwiko wa kutokuingia fainali au ataendeleza rekodi ya kuishia hatua hiyo dhidi ya Madrid?. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Al Ahly uso kwa uso na Madrid
Top
Bottom