AL AHLY vs ES TUNIS Nani Kuwa Bingwa Wa Afrika Kwa Vilabu?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
61
39
25
Wengi wetu tunasubiri kuona mtanange mkubwa wa fainali ya ligi ya mabingwa Afrika ambapo ratiba kamili iko hivi


Sat 18th May 22:00 (ES Tunis vs Al Ahly)

Sat 25th May20:00 (Al Ahly vs ES Tunis)​


Nani Kuwa Bingwa? Mchezo upi utakua na shangwe sana?
 

becka

Mgeni
May 7, 2024
6
2
5
Al Ahaly ndio baba wa soka Africa hivyo hizi kelele za hao Es Tunis n tareha 18 to 25
Wanafungwa nje ndan hilo halina ubishi