ALVAREZ NI BORA KULIKO HALLAND

Balyx_

Mgeni
Dec 19, 2022
93
72
5
Kuna mipira jana against Chelshit ulkua unaona kabisa kwamba hii Alvarez ingekuwa rahisi kuimaliza na kuamua game mapema sana. Guardiola afanye maamuzi magumu. Piga bench Halland Alvarez apate nafasi
 
  • Like
Reactions: Happy and Brenda

Happy

Mpiga Chabo
Dec 13, 2022
8
0
0
Kuna mipira jana against Chelshit ulkua unaona kabisa kwamba hii Alvarez ingekuwa rahisi kuimaliza na kuamua game mapema sana. Guardiola afanye maamuzi magumu. Piga bench Halland Alvarez apate nafasi
Jana wamemtesa sana wale mabeki:LOL::LOL::LOL: