Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ambacho hakizungumziwi na vijana wangu ninaowasoma mitandaoni ni suala la fitness ya Mayele na Yanga kwa ujumla.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

.... Ambacho hakizungumziwi na vijana wangu ninaowasoma mitandaoni ni suala la fitness ya Mayele na Yanga kwa ujumla.

Mayele anasifiwa kufunga tu. Hasifiwi fitness yake. Sijui kwanini. Bao la kwanza jana baada mpira wa kichwa kugonga mwamba reaction ya kufunga kwa mguu ilitokana na fitness yake.

Wengine kuurudia tena ule mpira ni issue kama fitness level yako ipo chini. Bao lake la pili angalia alivyokimbia kwa kasi hatua 25 huku mpira ukiwa kwa Aziz Ki. Mbele yake kulikuwa na mabeki wawili wa Coastal, akawapita, na bado hawakuweza kumechi na kasi yake.

Wakati mwingine mabao yake yanatokana na fitness aliyonayo. Yule jamaa mwenye minywele benchi la Yanga ni mtu muhimu sana. Wachezaji wengi wa Yanga wako fiti kimwili hata kabla ya suala la akili zao uwanjani.

[QUOTE="Brenda, post: 2366, member: 464"] 💫.... Ambacho hakizungumziwi na vijana wangu ninaowasoma mitandaoni ni suala la fitness ya Mayele na Yanga kwa ujumla. Mayele anasifiwa kufunga tu. Hasifiwi fitness yake. Sijui kwanini. Bao la kwanza jana baada mpira wa kichwa kugonga mwamba reaction ya kufunga kwa mguu ilitokana na fitness yake. Wengine kuurudia tena ule mpira ni issue kama fitness level yako ipo chini. Bao lake la pili angalia alivyokimbia kwa kasi hatua 25 huku mpira ukiwa kwa Aziz Ki. Mbele yake kulikuwa na mabeki wawili wa Coastal, akawapita, na bado hawakuweza kumechi na kasi yake. Wakati mwingine mabao yake yanatokana na fitness aliyonayo. Yule jamaa mwenye minywele benchi la Yanga ni mtu muhimu sana. Wachezaji wengi wa Yanga wako fiti kimwili hata kabla ya suala la akili zao uwanjani. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ambacho hakizungumziwi na vijana wangu ninaowasoma mitandaoni ni suala la fitness ya Mayele na Yanga kwa ujumla.
Top
Bottom