Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Anaitwa Kazadi Kasengu mfungaji bora wa Mapinduzi Cup
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ni mchezaji aliyeonekana kwa mara ya kwanza Zanzibar kwenye michuano ya mapinduzi Cup nusu fainali, na akifunga mabao ma4 peke ake na kuwatoa Azam kwenye mashiindano hayo ya kombe la Maoinduzi.

Sijajua hawa Singida Big Stars SBS wanapata wapi jeuri ya kuleta wazee waliotingisha dunia za za mawe, Lakini Nafurahi sana kuona timu zinakuwa kubwa hii ilitoka na Yanga sare na ikaja kumfunga Azam bao nne kwa moja kila kitu kinawezekana big for big Stars.

Huyu jamaa analijua goli sana, sema Nina wasiwasi Singida wakaporwa tonge mdomon ukasikia tu Huyu mchezaji kasajiliwa Simba au Yanga Au Azam. Maana Hawa Singida nao huwaga hawana Msimamo

Na tusipokua makini atasumbua sana kwemye hii ligi hyetu ni Mwamba sana

[ATTACH=full]1027[/ATTACH]

[QUOTE="Nabi, post: 2895, member: 473"] Ni mchezaji aliyeonekana kwa mara ya kwanza Zanzibar kwenye michuano ya mapinduzi Cup nusu fainali, na akifunga mabao ma4 peke ake na kuwatoa Azam kwenye mashiindano hayo ya kombe la Maoinduzi. Sijajua hawa Singida Big Stars SBS wanapata wapi jeuri ya kuleta wazee waliotingisha dunia za za mawe, Lakini Nafurahi sana kuona timu zinakuwa kubwa hii ilitoka na Yanga sare na ikaja kumfunga Azam bao nne kwa moja kila kitu kinawezekana big for big Stars. Huyu jamaa analijua goli sana, sema Nina wasiwasi Singida wakaporwa tonge mdomon ukasikia tu Huyu mchezaji kasajiliwa Simba au Yanga Au Azam. Maana Hawa Singida nao huwaga hawana Msimamo 🙌 Na tusipokua makini atasumbua sana kwemye hii ligi hyetu ni Mwamba sana [ATTACH type="full"]1027[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Anaitwa Kazadi Kasengu mfungaji bora wa Mapinduzi Cup
Top
Bottom