Anaitwa Sanchez Watt

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Jamaa anaitwa Sanchez Watt ,Alipata kadi ya njano baada ya kubutua mpira nje ,refa akamuuliza jina lake zaidi ya mara 3 jamaa anajibu "what" ,Refa akaona dharau akampa njano ya pili -Kapteni akamfata refa akamwambia jamaa anaitwa Watt ,refa akafuta kadi,mwamba akarudi ndani

1676016359712.png