Anaitwa Wout Weghorst lakini inatamkwa Vauti Veghosti πŸ˜…

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Sanabu zakutakamkwa hivi ni Wout Weghorst linatamkwa hivyo sababu Wafaransa na wadachi double U(w) wanaita Double Ve(W), Hivyo W wanaitamka V

Deal done kwa Manchester United wamesajili kutoka BurnelyπŸ”₯
518C57E6-6CAF-4C33-8A73-216FE6FD32EF.jpeg