Angel Di Maria Moja Ya Wachezaj Bora Katika Kizazi Hichi..!

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Nakumbuka Vizuri Kwamba Siku Moja Tulikuwa Tukifunga Makaa Ya Mawe Na Baba Yetu Na Kulikuwa Na Baridi Sana Na Mvua.Tulikuwa Chini Ya Paa La Bati,Nilienda Shuleni Kulikuwa Na Joto Na Afadhali Huko,Ila Baba Alikuwa Anakaa Siku Nzima Akifunga Mifuko Pale Bila Mapumziko Yoyote Maana Asingefanikiwa Kuuza Makaa Kipindi Hicho Tusingekuwa Na Chakula.Na Nikawaza Na Kuamini Kweli Kuna Wakati Ambapo Kila Kitu Kitabadilika Na Kuwa Bora.
Ndiyo Maana Nina Deni La Soka Kwa Kila Kitu.
 

Attachments

  • IMG_20221219_122435.jpg
    IMG_20221219_122435.jpg
    209 KB · Somwa: 0