Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Argentina wamekubali yaishe garnacho ndan michezo miwili ya kirafiki Panama na Calicao
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nadhani issue ya Gernacho kutokuitwa kwenye ile world cup 2022 kila mtu anaongea lake ndiyo maana kazungumza hvyo

Mimi kwa maoni yangu sikuona kama kunahaja ya dogo kuitwa na ukizingatia timu ilikua inaenda kwenye mashindano si kwenye majaribio so inahitaji watu wa kwenda kupambana.

Kuna baadhi ya watu wakawa wanasema kuwa dogo hajaitwa kwasababu hamkubali Messi anamkubali Ronaldo so Messi kakataa dogo asiitwe

Wakati ukiangalia kiuhalisia tu wa mpira dogo ndo kachipukia mwaka jana na si useme kua labda Argentina hawakuwa na wachezaji wa kuwaita wakishindana mpaka wamuite yeye

Ni tofauti na Uruguay ambapo wao sahii imebaki jina tu hawana professional wa kiwango cha juu ndiyo maana hata yule dogo Facundo alipo itwa alienda akapata nafasi ya kucheza si kucheza tu bali kuanza kabisa tofauti na Gernacho pale Argentina

[ATTACH=full]1346[/ATTACH]

[QUOTE="Rashidi, post: 3519, member: 568"] Nadhani issue ya Gernacho kutokuitwa kwenye ile world cup 2022 kila mtu anaongea lake ndiyo maana kazungumza hvyo Mimi kwa maoni yangu sikuona kama kunahaja ya dogo kuitwa na ukizingatia timu ilikua inaenda kwenye mashindano si kwenye majaribio so inahitaji watu wa kwenda kupambana. Kuna baadhi ya watu wakawa wanasema kuwa dogo hajaitwa kwasababu hamkubali Messi anamkubali Ronaldo so Messi kakataa dogo asiitwe Wakati ukiangalia kiuhalisia tu wa mpira dogo ndo kachipukia mwaka jana na si useme kua labda Argentina hawakuwa na wachezaji wa kuwaita wakishindana mpaka wamuite yeye Ni tofauti na Uruguay ambapo wao sahii imebaki jina tu hawana professional wa kiwango cha juu ndiyo maana hata yule dogo Facundo alipo itwa alienda akapata nafasi ya kucheza si kucheza tu bali kuanza kabisa tofauti na Gernacho pale Argentina [ATTACH type="full"]1346[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Argentina wamekubali yaishe garnacho ndan michezo miwili ya kirafiki Panama na Calicao
Top
Bottom