Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal bado ni bora kupoteza games ni part ya season
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Arsenal bado ni bora kupoteza games ni part ya season..zile game 3 wame drop points ukiangalia ni visababu vya ajabu ajabu tu ..

Jana Arsenal walipaswa kupata 3pts it was do or die, maana Ukiangalia 3 games zilizopita wamecheza against our toughest opponents, so bounce back ilipaswa kufanyika kwa Villa

Walicheza vizuri, waliruhusu magoli kwa individual mistakes Zinny alikosea 1st goal alipoteza mpira on a dangerous area timu ikiwa ime advance waka trigger counter attack..Ollie is so good on finishing..akawamaliza

2nd goal positioning ya timu nzima ilikuwa hovyo.. Villa walianza from behind 3 touches wapo kwenye half yao..inapigwa krosi Buendia ana dash na ndio ikawa killer move..Coutinho akawaua

But Arsenal ipo on form..consistency yao ya kumiliki mpira inakutaka uwe na mapafu ya mbwa kuzuia 90 mins (Everton - Onana, Docoure, Gana) maana..Wakikusaka lazima utaonyesha. Or uwe na players wenye skills ya hali ya juu kucheza low block mechi nzima (kama Brentford)

or uwe na viungo wenye uwezo wa kumiliki mpira na kutengeneza mashambulizi ya hatari (Kama City)

Aston Villa walikaza ila kufika 70th min miguu ilianza kuchoka na hapo ndipo Mikel akaongeza mafundi uwanjani kupandisha timu zaidi. Tomiyasu, Martinelli, Viera Arsenal akascore 2 goals in Added mins.

[ATTACH=full]1241[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3374, member: 464"] Arsenal bado ni bora kupoteza games ni part ya season..zile game 3 wame drop points ukiangalia ni visababu vya ajabu ajabu tu .. Jana Arsenal walipaswa kupata 3pts it was do or die, maana Ukiangalia 3 games zilizopita wamecheza against our toughest opponents, so bounce back ilipaswa kufanyika kwa Villa Walicheza vizuri, waliruhusu magoli kwa individual mistakes Zinny alikosea 1st goal alipoteza mpira on a dangerous area timu ikiwa ime advance waka trigger counter attack..Ollie is so good on finishing..akawamaliza 2nd goal positioning ya timu nzima ilikuwa hovyo.. Villa walianza from behind 3 touches wapo kwenye half yao..inapigwa krosi Buendia ana dash na ndio ikawa killer move..Coutinho akawaua But Arsenal ipo on form..consistency yao ya kumiliki mpira inakutaka uwe na mapafu ya mbwa kuzuia 90 mins (Everton - Onana, Docoure, Gana) maana..Wakikusaka lazima utaonyesha. Or uwe na players wenye skills ya hali ya juu kucheza low block mechi nzima (kama Brentford) or uwe na viungo wenye uwezo wa kumiliki mpira na kutengeneza mashambulizi ya hatari (Kama City) Aston Villa walikaza ila kufika 70th min miguu ilianza kuchoka😃 na hapo ndipo Mikel akaongeza mafundi uwanjani kupandisha timu zaidi. Tomiyasu, Martinelli, Viera Arsenal akascore 2 goals in Added mins. [ATTACH type="full"]1241[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal bado ni bora kupoteza games ni part ya season
Top
Bottom