Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal, City kuamua hatma ya Ubingwa leo
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Majira ya saa 4:30 usiku wa leo kutakuwa na mbungi ya kuamua mbio za ubingwa kati ya Arsenal dhidi ya Man city katika dimba la Emirates.

Mechi hiyo inatazamiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili,huku wote wakiwa wanashindania ubingwa.

Arsenal yupo kileleni kwa alama 51,michezo 21 huki City wenyewe wana alama 48 na michezo 22, hivyo ushindi wa City leo utawafanya kupanda mpaka kileleni kwa tofauti ya magoli ya kufunga (City 56, Arsenal 46).

Arsenal nae haitaji kingine zaidi ya alama muhimu kwake ili kuendelea kusalia kileleni huku bado akiwa na mchezo mmoja mkononi.

Utamu mwingine wa mechi hii ni inawakutanisha kati ya Mwalimu (Pep) na Mwanafunzi wake (Arteta) huku Arteta akiwa amepoteza mechi zote tano za mwisho dhidi ya City.

Mbinu za makocha na ubora wa wachezaji zitaenda kuamua mchezo leo

[ATTACH=full]1224[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3330, member: 622"] Majira ya saa 4:30 usiku wa leo kutakuwa na mbungi ya kuamua mbio za ubingwa kati ya Arsenal dhidi ya Man city katika dimba la Emirates. Mechi hiyo inatazamiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili,huku wote wakiwa wanashindania ubingwa. Arsenal yupo kileleni kwa alama 51,michezo 21 huki City wenyewe wana alama 48 na michezo 22, hivyo ushindi wa City leo utawafanya kupanda mpaka kileleni kwa tofauti ya magoli ya kufunga (City 56, Arsenal 46). Arsenal nae haitaji kingine zaidi ya alama muhimu kwake ili kuendelea kusalia kileleni huku bado akiwa na mchezo mmoja mkononi. Utamu mwingine wa mechi hii ni inawakutanisha kati ya Mwalimu (Pep) na Mwanafunzi wake (Arteta) huku Arteta akiwa amepoteza mechi zote tano za mwisho dhidi ya City. Mbinu za makocha na ubora wa wachezaji zitaenda kuamua mchezo leo [ATTACH type="full"]1224[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal, City kuamua hatma ya Ubingwa leo
Top
Bottom