Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
ARSENAL PUNGUFU YATOA SARE NA LIVERPOOL ANFIELD
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]291[/ATTACH]

PAMOJA na kucheza pungufu, Arsenal imelazimisha sare ya bila kufungana na wenyeji katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Anfield.

Arsenal walilazimika kucheza pungufu tangu dakika ya 24 baada ya Granit Xhaka kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kumchezea rafu Diogo Jota.

Liverpool sasa itasafiri kwenda London kwa mchezo wa marudiano Januari 20 Uwanja wa Emirates na mshindi wa jumla atakutana na Chelsea katika fainali ambayo imeitoa Tottenham kwa jumla ya mabao 3-0, ikishinda 2-0 Stamford Bridge na 1-0 Tottenham.

[QUOTE="Amir, post: 383, member: 20"] [ATTACH type="full"]291[/ATTACH] PAMOJA na kucheza pungufu, Arsenal imelazimisha sare ya bila kufungana na wenyeji katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Anfield. Arsenal walilazimika kucheza pungufu tangu dakika ya 24 baada ya Granit Xhaka kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kumchezea rafu Diogo Jota. Liverpool sasa itasafiri kwenda London kwa mchezo wa marudiano Januari 20 Uwanja wa Emirates na mshindi wa jumla atakutana na Chelsea katika fainali ambayo imeitoa Tottenham kwa jumla ya mabao 3-0, ikishinda 2-0 Stamford Bridge na 1-0 Tottenham. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
ARSENAL PUNGUFU YATOA SARE NA LIVERPOOL ANFIELD
Top
Bottom