Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Arsenal yatangaza mapema, watasajili

LONDON ENGLAND. ARSENAL hawataki kupoteza muda katika kufuta machungu ya kushindwa kufanya usajili kwenye dirisha la Januari kwa kuanza kwa kasi kubwa kwenye usajili wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.

Kinachoelezwa ni kwamba Arsenal wanasubiri tu mambo yaanze. Kwenye dirisha la Januari, Arsenal ilikuwa na dili za kibabe sizizopungua nne mezani, ikiwamo ya straika Dusan Vlahovic, waliyemtaka aje kuchukua buti za Pierre-Emerick Aubameyang - lakini staa huyo aliitosa Arsenal na kutimkia zake Juventus.

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kikosi chake kipo kwenye nafasi nzuri ya kukamatia tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao, hivyo kwenye jambo hilo ni lazima kuwa na huduma ya watu wa kazi uwanjani.

Mhispaniola huyo alikiri kwamba timu italeta wachezaji wapya ili kukifanya kikosi kuwa kwenye viwango vingine vya ubora.

“Tuzo tulichopanga, lakini sokoni palikuwa pagumu,î alisema Arteta akizungumzia tukio la kushindwa kusajili mtu kwenye dirisha la Januari.

“Tunafahamu kila kitu. Tunafanya uamuzi wa wachezaji ambao tunaamini watakuja kutusaidia. Wachezaji watakuja kwa ajili ya kutufanya tuwe kwenye anga nyingine kabisa kiubora. Kwa sasa tupo kwenye viwango tunavyotaka kuwa, tunahitaji wengine waje kutotoa hapa tulipo. Ndio maana tutasajili.”

Kwenye dirisha lijalo, Arteta atahitaji kipa mwingine wa kuja kumpa upinzani Aaron Ramsdale, kiungo wa kati wa kucheza kucheza pacha na Thomas Partey

na straika wa kuja kuziba pengo la Pierre-Emerick Aubameyang.

Mkurugenzi wa ufundi wa Arsenal, Edu anafahamu majukumu yake mazito kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi katika kuleta wakali watakaofanya Emirates pale mahali pa kutisha kwa wapinzani.

[QUOTE="mhariri, post: 1119, member: 122"] [HEADING=1]Arsenal yatangaza mapema, watasajili[/HEADING] [IMG alt="arteta pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3574828/909c76295dfbf8560ab4461a086389a0/arteta-pic-data.jpg[/IMG] LONDON ENGLAND. ARSENAL hawataki kupoteza muda katika kufuta machungu ya kushindwa kufanya usajili kwenye dirisha la Januari kwa kuanza kwa kasi kubwa kwenye usajili wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi. Kinachoelezwa ni kwamba Arsenal wanasubiri tu mambo yaanze. Kwenye dirisha la Januari, Arsenal ilikuwa na dili za kibabe sizizopungua nne mezani, ikiwamo ya straika Dusan Vlahovic, waliyemtaka aje kuchukua buti za Pierre-Emerick Aubameyang - lakini staa huyo aliitosa Arsenal na kutimkia zake Juventus. Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kikosi chake kipo kwenye nafasi nzuri ya kukamatia tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao, hivyo kwenye jambo hilo ni lazima kuwa na huduma ya watu wa kazi uwanjani. Mhispaniola huyo alikiri kwamba timu italeta wachezaji wapya ili kukifanya kikosi kuwa kwenye viwango vingine vya ubora. “Tuzo tulichopanga, lakini sokoni palikuwa pagumu,î alisema Arteta akizungumzia tukio la kushindwa kusajili mtu kwenye dirisha la Januari. “Tunafahamu kila kitu. Tunafanya uamuzi wa wachezaji ambao tunaamini watakuja kutusaidia. Wachezaji watakuja kwa ajili ya kutufanya tuwe kwenye anga nyingine kabisa kiubora. Kwa sasa tupo kwenye viwango tunavyotaka kuwa, tunahitaji wengine waje kutotoa hapa tulipo. Ndio maana tutasajili.” Kwenye dirisha lijalo, Arteta atahitaji kipa mwingine wa kuja kumpa upinzani Aaron Ramsdale, kiungo wa kati wa kucheza kucheza pacha na Thomas Partey na straika wa kuja kuziba pengo la Pierre-Emerick Aubameyang. Mkurugenzi wa ufundi wa Arsenal, Edu anafahamu majukumu yake mazito kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi katika kuleta wakali watakaofanya Emirates pale mahali pa kutisha kwa wapinzani. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal Thread
Top
Bottom