Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ARSENAL YAICHAPA WATFORD 3-2 VICARAGE

TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vicarage Road mjini Watford.

Mabao ya Arsenal yamefungwa na Martin Odegaard dakika ya tano, Bukayo Saka dakika ya 30 na Gabriel Martinelli dakika ya 52, wakati ya Watford yamefungwa na Cucho Hernandez dakika ya 11 na Moussa Sissoko dakika ya 87.

Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 48 katika mchezo wa 25 na kupanda nafasi ya nne, wakati Watford inabaki na pointi zake 19 za mechi 27, nafasi ya 19.

[QUOTE="Amir, post: 1182, member: 20"] [HEADING=2]ARSENAL YAICHAPA WATFORD 3-2 VICARAGE[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjicbM4ZaoD0Y7kzNTfIvvPArVGMScx41rbOOWD196VD--UTMjZykPArrMUsmRxu2nN0Rv1OIXXilVFRtUtAemp9ZpLaL9onKtAh-lhzkwKJsKE-X-LRQm_CqNecl0AOnq2l20TqbhcShq9w3U-AdK-AiDL3SXPItTdH3iTo0CEn9Yc1wG0HEHIHGI6=w640-h454[/IMG] TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vicarage Road mjini Watford. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Martin Odegaard dakika ya tano, Bukayo Saka dakika ya 30 na Gabriel Martinelli dakika ya 52, wakati ya Watford yamefungwa na Cucho Hernandez dakika ya 11 na Moussa Sissoko dakika ya 87. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 48 katika mchezo wa 25 na kupanda nafasi ya nne, wakati Watford inabaki na pointi zake 19 za mechi 27, nafasi ya 19. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal Thread
Top
Bottom