Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SPURS YAICHAPA ARSENAL 3-0 LONDON

WENYEJI, Tottenham Hotspur wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London.

Mabao ya Spurs yamefungwa na Harry Kane mawili, dakika ya 22 kwa penalti na 37 akimalizia pasi ya Rodrigo Bentancur na lingine Son Heung-Min dakika ya 47.

Kwa ushindi huo, Spurs inafikisha pointi 65, ingawa inabaki nafasi ya tano, ikizidiwa pointi moja moja na Arsenal baada wa wote kucheza mechi 36.

Arsenal ilimaliza pungufu baada ya Rob Holding kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 33 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kucheza rafu.

[QUOTE="Amir, post: 1465, member: 20"] [HEADING=2]SPURS YAICHAPA ARSENAL 3-0 LONDON[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7_Xr-yUXMbY0MTpaw35kP87h82dnq7nGVkt2OcHxonzjyQinGzxFYVnfyhGvBPz4i7wF7N1yXtI7s224OUkszzl0FE-WbUmG2aEh37ijhs-7pLNW5_-Vgur5SOb8boc22BpHBUVmny0bbPVaxTfLx2VeVzLRKAMTjhec3O85WX4iwn0-IyonMmcAe/s962/13B86CD6-9549-404E-A442-8AA94FC7D12D.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7_Xr-yUXMbY0MTpaw35kP87h82dnq7nGVkt2OcHxonzjyQinGzxFYVnfyhGvBPz4i7wF7N1yXtI7s224OUkszzl0FE-WbUmG2aEh37ijhs-7pLNW5_-Vgur5SOb8boc22BpHBUVmny0bbPVaxTfLx2VeVzLRKAMTjhec3O85WX4iwn0-IyonMmcAe/w640-h416/13B86CD6-9549-404E-A442-8AA94FC7D12D.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Tottenham Hotspur wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Mabao ya Spurs yamefungwa na Harry Kane mawili, dakika ya 22 kwa penalti na 37 akimalizia pasi ya Rodrigo Bentancur na lingine Son Heung-Min dakika ya 47. Kwa ushindi huo, Spurs inafikisha pointi 65, ingawa inabaki nafasi ya tano, ikizidiwa pointi moja moja na Arsenal baada wa wote kucheza mechi 36. Arsenal ilimaliza pungufu baada ya Rob Holding kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 33 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kucheza rafu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal Thread
Top
Bottom