Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kwa mara ya kwanza Hector Bellerin ameizungumzia timu yake ya Arsenal tangu ajiunge na Real Betis kwa mkopo

"Arsenal wanafanya vizuri na hilo linanifurahisha sana. Mchezaji waliyempata katika nafasi yangu (Tomiyasu) anafanya vyema"

"Nafurahishwa na namna wanavyopambana, mimi huwa natazama kila mchezo na natamani wazidi kufanya vizuri zaidi. Ndivyo soka linavyokwenda"

"Mara zote nilikuwa nawaambia viongozi kuwa nikiondoka hapa sitaki kuwaacha bila mtu yeyote bora katika nafasi yangu au katika nafasi ambayo hamuwezi kuwa katika hali ya bora"

"Kwasasa kazi inafanyika na nafurahi kuona Arsenal inazidi kuimarika"

'Nataka mema kwa sisi sote. Nimekuwa Arsenal kwa miaka 10 na napenda mahali hapa. Ilifanya kazi kwa kila mtu na hiyo ndiyo inanionyesha kuwa ilikuwa jambo sahihi kufanya.

[QUOTE="Amir, post: 441, member: 20"] Kwa mara ya kwanza Hector Bellerin ameizungumzia timu yake ya Arsenal tangu ajiunge na Real Betis kwa mkopo "Arsenal wanafanya vizuri na hilo linanifurahisha sana. Mchezaji waliyempata katika nafasi yangu (Tomiyasu) anafanya vyema" "Nafurahishwa na namna wanavyopambana, mimi huwa natazama kila mchezo na natamani wazidi kufanya vizuri zaidi. Ndivyo soka linavyokwenda" "Mara zote nilikuwa nawaambia viongozi kuwa nikiondoka hapa sitaki kuwaacha bila mtu yeyote bora katika nafasi yangu au katika nafasi ambayo hamuwezi kuwa katika hali ya bora" "Kwasasa kazi inafanyika na nafurahi kuona Arsenal inazidi kuimarika" 'Nataka mema kwa sisi sote. Nimekuwa Arsenal kwa miaka 10 na napenda mahali hapa. Ilifanya kazi kwa kila mtu na hiyo ndiyo inanionyesha kuwa ilikuwa jambo sahihi kufanya. [IMG alt="Inaweza kuwa picha ya Mtu 1"]https://scontent.fnbo1-1.fna.fbcdn.net/v/t39.30808-6/s640x640/272155912_5005055769554333_6746115007537048654_n.jpg?_nc_cat=103&ccb=1-5&_nc_sid=a26aad&_nc_ohc=atpjrS-_xK0AX_8bEOa&tn=F_1gxcAJAMXglA75&_nc_ht=scontent.fnbo1-1.fna&oh=00_AT9Mcwo25YAzsfrDUzTEnUq6_e9c0GS5A_1BHLRZ_nVRdg&oe=61EBEAD1[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal Thread
Top
Bottom