Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal vs Manchester United mechi bora ikisindikizwa na magoli 5 🔥⚽️
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Arsenal inazidi kuthibitisha ubora wake kwenye EPL msimu huu baada ya jana kushinda mechi yake na Manchester United.

Kama isingekuwa makosa madogo madogo ya Arsenal ya kupoteza mipira kwenye eneo lao la kushambulia, basi nadhani wangeweza kushinda goli zaidi ya 3.

Pongezi kwa Mikel Arteta kwa kubalance kikosi cha kwanza vizuri sana, ametengeza uwiano mzuri sana kwenye kila eneo yani safu ya ulinzi, safu ya kiungo na safu ya ushambuliaji, bila kusahau Ramsdale anafanya kazi nzuri sana golini.

Usajili wa Trossard ni wenye tija sana kwenye timu ya Arsenal, amecheza dakika kama 10 tu, lakini ameonesha kitu kikubwa sana kwenye mchezo wa jana.

Manchester United walikosa muunganiko kutokea kwenye eneo la kati, hii ni kutokana na viungo wao kuzidiwa na viungo wa Arsenal, tatizo hilo la kukosa muunganiko kwa Manchester United lilipelekea safu ya ushambuliaji kukosa mipira mingi ya kuweza kufunga magoli, mfano kwa mshambuliaji mpya wa Manchester United, Weighorst ilifaa apatiwe mipira mingi ya krosi za juu, kwa urefu alionao, bila shaka angeweza kupeleka madhara makubwa kwa safu ya ulinzi ya Arsenal.

Ukiachilia mbali Manchester United kupoteza mchezo wa jana, lakini timu inaonesha kuimarika siku hadi siku, pongezi nyingi sana kwa Ten Hag.

Bila shaka kila mpenzi wa soka alifurahia sana mchezo wa jana, ilikuwa bonge la mechi.

[QUOTE="Nabi, post: 3028, member: 473"] Arsenal inazidi kuthibitisha ubora wake kwenye EPL msimu huu baada ya jana kushinda mechi yake na Manchester United. Kama isingekuwa makosa madogo madogo ya Arsenal ya kupoteza mipira kwenye eneo lao la kushambulia, basi nadhani wangeweza kushinda goli zaidi ya 3. Pongezi kwa Mikel Arteta kwa kubalance kikosi cha kwanza vizuri sana, ametengeza uwiano mzuri sana kwenye kila eneo yani safu ya ulinzi, safu ya kiungo na safu ya ushambuliaji, bila kusahau Ramsdale anafanya kazi nzuri sana golini. Usajili wa Trossard ni wenye tija sana kwenye timu ya Arsenal, amecheza dakika kama 10 tu, lakini ameonesha kitu kikubwa sana kwenye mchezo wa jana. Manchester United walikosa muunganiko kutokea kwenye eneo la kati, hii ni kutokana na viungo wao kuzidiwa na viungo wa Arsenal, tatizo hilo la kukosa muunganiko kwa Manchester United lilipelekea safu ya ushambuliaji kukosa mipira mingi ya kuweza kufunga magoli, mfano kwa mshambuliaji mpya wa Manchester United, Weighorst ilifaa apatiwe mipira mingi ya krosi za juu, kwa urefu alionao, bila shaka angeweza kupeleka madhara makubwa kwa safu ya ulinzi ya Arsenal. Ukiachilia mbali Manchester United kupoteza mchezo wa jana, lakini timu inaonesha kuimarika siku hadi siku, pongezi nyingi sana kwa Ten Hag. Bila shaka kila mpenzi wa soka alifurahia sana mchezo wa jana, ilikuwa bonge la mechi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arsenal vs Manchester United mechi bora ikisindikizwa na magoli 5 🔥⚽️
Top
Bottom