Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arteta ataka Arsenal iendelee ilipoishia
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]929[/ATTACH]Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amewataka wachezaji wake kuhakikisha moto waliouwasha msimu huu unaendelea kuwaka wakati ligi kuu ya Uingereza itakaporejea.

Ligi hiyo ilisimama kupisha michuano ya kombe la Dunia iliyomalizika Qatar.

Kocha huyo amewaambia wachezaji wake kuwa kama wanataka kushinda taji msimu huu, basi wacheze kwa kujituma kama ilivyokuwa kabla ya ligi hiyo kusimama.

Arsenal, iliyoshinda taji la mwisho la ligi mwaka 2004 , ilianza vema msimu huu kwa kushinda mechi 12 kati ya 14 ilizocheza.

Hata hivyo, Arsenal tayari itamkosa Gabriel Jesus katika mechi zake za awali baada ya mchezaji huyo kuumia katika michuano ya kombe la Dunia akiwa na Brazil.

Licha ya kumkosa Jesus, Arteta amekuwa na matumaini ya kurejea vema katika ligi, akijiandaa na mechi ya Jumatatu dhidi ya West Ham.

Newcastle United, ambayo ipo nafasi ya tatu katika msimamo nao watakuwa uwanjani Jumatatu dhidi ya Leicester.

" Napenda tucheze kwa kujituma kama ilivyokuwa awali ili tushinde taji msimu huu," amesema.

Arsenal imezidiwa pointi 5 tu na Manchester City wanaoongoza ligi.

City pia watakuwa uwanjani siku ya Jumatano ikivaana na Leeds.

[QUOTE="kidudumtujr, post: 2478, member: 572"] [ATTACH type="full"]929[/ATTACH]Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amewataka wachezaji wake kuhakikisha moto waliouwasha msimu huu unaendelea kuwaka wakati ligi kuu ya Uingereza itakaporejea. Ligi hiyo ilisimama kupisha michuano ya kombe la Dunia iliyomalizika Qatar. Kocha huyo amewaambia wachezaji wake kuwa kama wanataka kushinda taji msimu huu, basi wacheze kwa kujituma kama ilivyokuwa kabla ya ligi hiyo kusimama. Arsenal, iliyoshinda taji la mwisho la ligi mwaka 2004 , ilianza vema msimu huu kwa kushinda mechi 12 kati ya 14 ilizocheza. Hata hivyo, Arsenal tayari itamkosa Gabriel Jesus katika mechi zake za awali baada ya mchezaji huyo kuumia katika michuano ya kombe la Dunia akiwa na Brazil. Licha ya kumkosa Jesus, Arteta amekuwa na matumaini ya kurejea vema katika ligi, akijiandaa na mechi ya Jumatatu dhidi ya West Ham. Newcastle United, ambayo ipo nafasi ya tatu katika msimamo nao watakuwa uwanjani Jumatatu dhidi ya Leicester. " Napenda tucheze kwa kujituma kama ilivyokuwa awali ili tushinde taji msimu huu," amesema. Arsenal imezidiwa pointi 5 tu na Manchester City wanaoongoza ligi. City pia watakuwa uwanjani siku ya Jumatano ikivaana na Leeds. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Arteta ataka Arsenal iendelee ilipoishia
Top
Bottom