Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM FC YAENDELEA KUTAMBA KATIKA SOKA YA VIJANA.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TIMU ya Azam FC U-20 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano maalum ya vijana (U-20 Tournament 2022), baada ya kuichapa JKT Tanzania U-20 mabao 4-3 usiku wa Jumatano Uwanja wa JMK Park, Dar es Salaam.

Huo ni ubingwa wa pili kwa kikosi hicho ndani ya miezi miwili, baada ya Desemba mwaka jana kubeba taji la michuano ya Kombe la Chipukizi iliyofanyika jijini Arusha.

Mabao ya Azam FC U-20 yaliyoipa ubingwa yamewekwa kimiani na Ashraf Malolo dakika ya saba, akimalizia mpira wa kona uliopigwa George Chande.

Dakika ya 65, Zuberi Mkombozi, alitupatia bao la pili likiwa ni la kusawazisha baada ya JKT kufunga mabao mawili kabla ya kwenda mapumziko kupitia kwa, Vicent Bundala.

Azam FC U-20 ilijihakikishia ubingwa kwa mabao mengine mawili, yaliyowekwa kimiani na Cyprian Kachwele, aliyeingia kipindi cha pili.

Kabla ya kutinga fainali Azam FC U-20 ilizichapa Ruvu Shooting (2-1), Magnet Youth (3-1) na kutoka sare na Kepteni (2-2), zikiwa mechi za Kundi A.

Kwenye hatua ya nusu fainali, Azam FC U-20 ikakutana na Simba na kuitungua bao 1-0, lililofungwa na Jamal Jaku, kabla kuichachafya JKT Tanzania katika fainali.

[QUOTE="vuligate, post: 698, member: 123"] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh4LYqdEzE4uCW3xzIeSQhrI0kG8sOBnG4OKACeewSoS6rvvX_LxVt25PuXn7tw0IXQdezWgshKy1uxFuKSnnFhJqHRistKzjuX-NhwKxADOZgB8xO605bNl0CiMzFdAIuQCKVIqCZGwF96XRZEvlqZgIo8SS8_ienImvQvt-ZvDBy7iowHlz_qPXRR=s1080'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh4LYqdEzE4uCW3xzIeSQhrI0kG8sOBnG4OKACeewSoS6rvvX_LxVt25PuXn7tw0IXQdezWgshKy1uxFuKSnnFhJqHRistKzjuX-NhwKxADOZgB8xO605bNl0CiMzFdAIuQCKVIqCZGwF96XRZEvlqZgIo8SS8_ienImvQvt-ZvDBy7iowHlz_qPXRR=w640-h640[/IMG][/URL] TIMU ya Azam FC U-20 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano maalum ya vijana (U-20 Tournament 2022), baada ya kuichapa JKT Tanzania U-20 mabao 4-3 usiku wa Jumatano Uwanja wa JMK Park, Dar es Salaam. Huo ni ubingwa wa pili kwa kikosi hicho ndani ya miezi miwili, baada ya Desemba mwaka jana kubeba taji la michuano ya Kombe la Chipukizi iliyofanyika jijini Arusha. Mabao ya Azam FC U-20 yaliyoipa ubingwa yamewekwa kimiani na Ashraf Malolo dakika ya saba, akimalizia mpira wa kona uliopigwa George Chande. Dakika ya 65, Zuberi Mkombozi, alitupatia bao la pili likiwa ni la kusawazisha baada ya JKT kufunga mabao mawili kabla ya kwenda mapumziko kupitia kwa, Vicent Bundala. Azam FC U-20 ilijihakikishia ubingwa kwa mabao mengine mawili, yaliyowekwa kimiani na Cyprian Kachwele, aliyeingia kipindi cha pili. Kabla ya kutinga fainali Azam FC U-20 ilizichapa Ruvu Shooting (2-1), Magnet Youth (3-1) na kutoka sare na Kepteni (2-2), zikiwa mechi za Kundi A. Kwenye hatua ya nusu fainali, Azam FC U-20 ikakutana na Simba na kuitungua bao 1-0, lililofungwa na Jamal Jaku, kabla kuichachafya JKT Tanzania katika fainali. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM FC YAENDELEA KUTAMBA KATIKA SOKA YA VIJANA.
Top
Bottom