Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM FC YAIBOMOA RUVU SHOOTING 4-1 CHAMAZI
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]72[/ATTACH]

WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Mabao ya Azam FC la kwanza alijifunga Michael Masinda dakika ya 20, Ismail Aziz dakika ya 44, Charles Zullu dakika ya 50 na Tepsi Evance dakika ya 81, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Saadat Mohamed dakika ya 63.

Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 15 na kusogea nafasi ya sita, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake tisa katika nafasi ya 13 baada ya timu zote kucheza mechi 10.

[QUOTE="vuligate, post: 178, member: 123"] [ATTACH type="full"]72[/ATTACH] WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Azam FC la kwanza alijifunga Michael Masinda dakika ya 20, Ismail Aziz dakika ya 44, Charles Zullu dakika ya 50 na Tepsi Evance dakika ya 81, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Saadat Mohamed dakika ya 63. Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 15 na kusogea nafasi ya sita, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake tisa katika nafasi ya 13 baada ya timu zote kucheza mechi 10. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM FC YAIBOMOA RUVU SHOOTING 4-1 CHAMAZI
Top
Bottom