Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Azam hawajua bado shida yao kwenye magoli kipa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pengine ni kocha wa magolikipa ndo tatizo

Pengine ni ubora wa timu wanazokutana nazo

Pengine labda ni kweli bado hawajapata kipa bora

Pengine Au tatizo ni lipi kwenye mlsngo wa Azam uwanjani, pia kupata golikipa mzuri sio jambo rahisi.

Ninachoona pia kwa AZAM waache kuendekeza mashabiki wa simba na yanga yule golikipa ni mzuri sana mnamuacha kisa kafungwa na AZIZ K, hiyo siyo football mashabiki watabaki kuwa mashabiki na wachezaji watasimama kwenye nafasi yao hakuna kipa asiyefungwa hayo ni makosa yanatokeo na kwenye mpira ukifanya makosa unaadhibiwa na mpinzani.

Wanamuona Ahmada sio mzuri sababu Jemedari alisema ni kipa wa hovyo kwa kushindwa kudaka mpira wa Aziz ki. Juzi wakamuweka kipa wa under 20 akafungwa magoli ma4 ya kizembe sana, Golikipa unakabiliwa na adui na unahamishia mpira ndani yaani kumpa adui advantage? Huyu Golikipa anatakiwa ama afundishwe upya au auzwe.

Azam wanaonekana kama hawako serious sana na hii football industry, miaka yote Investiment ya Azam sioni return yake nafikiri kuna shida kwenye Management.

[QUOTE="Bangala, post: 2896, member: 570"] Pengine ni kocha wa magolikipa ndo tatizo Pengine ni ubora wa timu wanazokutana nazo Pengine labda ni kweli bado hawajapata kipa bora Pengine Au tatizo ni lipi kwenye mlsngo wa Azam uwanjani, pia kupata golikipa mzuri sio jambo rahisi. Ninachoona pia kwa AZAM waache kuendekeza mashabiki wa simba na yanga yule golikipa ni mzuri sana mnamuacha kisa kafungwa na AZIZ K, hiyo siyo football mashabiki watabaki kuwa mashabiki na wachezaji watasimama kwenye nafasi yao hakuna kipa asiyefungwa hayo ni makosa yanatokeo na kwenye mpira ukifanya makosa unaadhibiwa na mpinzani. Wanamuona Ahmada sio mzuri sababu Jemedari alisema ni kipa wa hovyo kwa kushindwa kudaka mpira wa Aziz ki. Juzi wakamuweka kipa wa under 20 akafungwa magoli ma4 ya kizembe sana, Golikipa unakabiliwa na adui na unahamishia mpira ndani yaani kumpa adui advantage? Huyu Golikipa anatakiwa ama afundishwe upya au auzwe. Azam wanaonekana kama hawako serious sana na hii football industry, miaka yote Investiment ya Azam sioni return yake nafikiri kuna shida kwenye Management. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Azam hawajua bado shida yao kwenye magoli kipa
Top
Bottom