Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kumbe Azam Fc Bado Sana

AZAM inakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara lakini kocha wake, Abdi Hamid Moalin, amesema bado hajaipata Azam anayoitaka na ubora wa kikosi chake kwa sasa hauzidi asilimia 65.

Moalin amefunguka kuwa kuna levo ya ubora ambayo anahitaji kuiona kwenye timu yake, jambo ambalo bado analifanyia kazi kwa sasa na atafanikiwa muda siyo mwingi.

“Timu inapata matokeo ya ushindi mfululizo, ila kwetu bado hatujafikia kwenye kiwango ambacho tunahitaji timu icheze na idumu kwenye ubora huo. Nafikiri (kwa sasa) ni kama asilimia ni 55 au 65 tu,” alisema.

Azam imeshinda mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara, haijapoteza mechi yoyote tangu ifungwe na Simba 2-1 siku ya Mwaka mpya.

[QUOTE="vuligate, post: 1008, member: 123"] [HEADING=1]Kumbe Azam Fc Bado Sana[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273256013_1309603512877435_1626923907249693629_n.jpg[/IMG] AZAM inakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara lakini kocha wake, Abdi Hamid Moalin, amesema bado hajaipata Azam anayoitaka na ubora wa kikosi chake kwa sasa hauzidi asilimia 65. Moalin amefunguka kuwa kuna levo ya ubora ambayo anahitaji kuiona kwenye timu yake, jambo ambalo bado analifanyia kazi kwa sasa na atafanikiwa muda siyo mwingi. “Timu inapata matokeo ya ushindi mfululizo, ila kwetu bado hatujafikia kwenye kiwango ambacho tunahitaji timu icheze na idumu kwenye ubora huo. Nafikiri (kwa sasa) ni kama asilimia ni 55 au 65 tu,” alisema. Azam imeshinda mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara, haijapoteza mechi yoyote tangu ifungwe na Simba 2-1 siku ya Mwaka mpya. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom