Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Dube amekuja kuwashika!

BAADA ya kusota kwa siku 273 bila kutikisa nyavu hatimaye mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube ametoa gundu kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United unaopigwa kesho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Dube alimaliza na mabao 14 msimu uliopita, akiwa kinara wa timu yake licha ya kutumia muda mrefu nje ya uwanja kujiuguza majeraha na mara ya mwisho kufunga ilikuwa Mei 20 mwaka jana dhidi ya Biashara United.

Ijumaa iliyopita Mzimbabwe huyo aliyeshiriki Fainali za Afcon 2021 zilizofanyika Cameroon, alifunga bao wakati Azam ikiinyoosha Pamba kwa mabao 2-0

kwenye mechi ya kirafiki iliyopigwa Nyamagana, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi ya kesho dhidi ya Biashara, timu aliyoitungua mara ya mwis ho katika Ligi Kuu.

Azam na Biashara zitaumana CCM Kirumba baada ya Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, uliopo Musoma mkoani Mara kufungiwa kutokana na kukosa vigezo.

Akizungumza na Mwanaspoti, Dube alisema amekaa nje ya uwanja muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ila anafahamu kilichomleta ndani ya timu hiyo kuwa ni kufunga hivyo ni muda wake sasa.

“Nafurahi kuwa miongoni mwa wachezaji wanaoleta furaha ndani ya timu nimefunga hiyo ndio kazi yangu nikipewa nafasi zaidi nitafunga na nitakuwa miongoni mwa wachezaji watakaofunga mabao mengi msimu huu kwa sababu ndio kazi iliyonitoa Zimbabwe na kunileta Tanzania,” alisema Dube na kuongeza;

“Hakuna kitu kinaumiza kuwa nje kwa majeraha.”

[QUOTE="mhariri, post: 1024, member: 122"] [HEADING=1]Dube amekuja kuwashika![/HEADING] [IMG alt="Dube pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3725092/landscape_ratio16x9/1160/652/a00bd12e3e094a0bdf69cc96d9b5afe7/an/dube-pic.jpg[/IMG] BAADA ya kusota kwa siku 273 bila kutikisa nyavu hatimaye mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube ametoa gundu kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United unaopigwa kesho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Dube alimaliza na mabao 14 msimu uliopita, akiwa kinara wa timu yake licha ya kutumia muda mrefu nje ya uwanja kujiuguza majeraha na mara ya mwisho kufunga ilikuwa Mei 20 mwaka jana dhidi ya Biashara United. Ijumaa iliyopita Mzimbabwe huyo aliyeshiriki Fainali za Afcon 2021 zilizofanyika Cameroon, alifunga bao wakati Azam ikiinyoosha Pamba kwa mabao 2-0 kwenye mechi ya kirafiki iliyopigwa Nyamagana, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi ya kesho dhidi ya Biashara, timu aliyoitungua mara ya mwis ho katika Ligi Kuu. Azam na Biashara zitaumana CCM Kirumba baada ya Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, uliopo Musoma mkoani Mara kufungiwa kutokana na kukosa vigezo. Akizungumza na Mwanaspoti, Dube alisema amekaa nje ya uwanja muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ila anafahamu kilichomleta ndani ya timu hiyo kuwa ni kufunga hivyo ni muda wake sasa. “Nafurahi kuwa miongoni mwa wachezaji wanaoleta furaha ndani ya timu nimefunga hiyo ndio kazi yangu nikipewa nafasi zaidi nitafunga na nitakuwa miongoni mwa wachezaji watakaofunga mabao mengi msimu huu kwa sababu ndio kazi iliyonitoa Zimbabwe na kunileta Tanzania,” alisema Dube na kuongeza; “Hakuna kitu kinaumiza kuwa nje kwa majeraha.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom