Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Azam Yatua Lindi Kibabe

KIKOSI cha Azam FC, kimeshuka mkoani Lindi, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Namungo utakaochezwa keshokutwa Jumatano. Timu hizo mbili zitakutana kwenye Uwanja wa Ilulu, Lindi, huku Namungo walio kwenye kiwango bora msimu huu, wakiwa nyumbani kuwakaribisha Azam.

Timu hizo kwa sasa zote zina pointi 25, lakini Namungo ipo nafasi ya tatu ikiwa juu ya Azam iliyo nafasi ya nne, kutokana na uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa. Mzunguko wa kwanza, Azam iliwafunga Namungo bao 1-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, bao hilo pekee likifungwa na Mcongo, Idris Mbombo dakika ya 90.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Habari wa Azam, Thabit Zakaria “Zaka Zakazi”, alisema wanataka kurudi Dar na pointi tatu muhimu.

“Tumeanza safari leo (jana) kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Namungo na tunaenda kupambana ugenini ili kuweza kurudi na alama tatu muhimu nyumbani.

“Wachezaji wote wapo vizuri kuelekea mchezo huo na morali ipo juu ili kuweza kurudi kwenye nafasi yetu Ligi Kuu Bara,” alisema Zaka.

[QUOTE="Amir, post: 1249, member: 20"] [HEADING=1]Azam Yatua Lindi Kibabe[/HEADING] [IMG alt="azam.jpg"]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/azam.jpg[/IMG] KIKOSI cha Azam FC, kimeshuka mkoani Lindi, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Namungo utakaochezwa keshokutwa Jumatano. Timu hizo mbili zitakutana kwenye Uwanja wa Ilulu, Lindi, huku Namungo walio kwenye kiwango bora msimu huu, wakiwa nyumbani kuwakaribisha Azam. Timu hizo kwa sasa zote zina pointi 25, lakini Namungo ipo nafasi ya tatu ikiwa juu ya Azam iliyo nafasi ya nne, kutokana na uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa. Mzunguko wa kwanza, Azam iliwafunga Namungo bao 1-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, bao hilo pekee likifungwa na Mcongo, Idris Mbombo dakika ya 90. Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Habari wa Azam, Thabit Zakaria “Zaka Zakazi”, alisema wanataka kurudi Dar na pointi tatu muhimu. “Tumeanza safari leo (jana) kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Namungo na tunaenda kupambana ugenini ili kuweza kurudi na alama tatu muhimu nyumbani. “Wachezaji wote wapo vizuri kuelekea mchezo huo na morali ipo juu ili kuweza kurudi kwenye nafasi yetu Ligi Kuu Bara,” alisema Zaka. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom