Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Azam Aapa Kutibua Ubingwa Yanga

BAADA ya Jumatano kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Namungo, Kocha Mkuu wa Azam, Abdul Hamid Moallin, ameweka wazi kuwa amefurahishwa na ari na upambanaji wa mastaa wa kikosi hicho na kuapa kuwa anataka kuona wanaendeleza hilo katika kila mchezo, hususani mchezo wao ujao dhidi ya Yanga.

Azam ambayo ilicheza michezo mitatu mfululizo bila matokeo ya ushindi, juzi Jumatano walitoka nyuma kwa bao 1-0 na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namungo, ushindi ambao umewafanya wapande hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo na pointi 28 walizokusanya kwenye michezo 18.

Baada ya ushindi huo, Azam sasa wanajipanga kuvaana na Yanga ambao wanaonekana kudhamiria kushinda ubingwa msimu huu katika mchezo wao ujao wa ligi kuu, uliopangwa kuchezwa Aprili 6, mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Kocha Moallin alisema: “Kwanza kabisa nawapongeza sana wachezaji wangu kwa namna ambavyo walipambana katika mchezo wetu uliopita dhidi ya Namungo, ni wazi ulikuwa mchezo mgumu sana kwetu, nadhani tulikuwa tunakosa upambanaji wa namna hii kwenye michezo yetu iliyopita.

“Ninaitaka Azam ninayoifundisha mimi icheze kwa kiwango hiki kwa kila mchezo ulio mbele yetu hususan mchezo dhidi ya Yanga ambao najua ni mchezo mkubwa, lazima tuhakikishe tunatumia faida ya kucheza nyumbani kupata matokeo dhidi yao.”

[QUOTE="mhariri, post: 1284, member: 122"] [HEADING=1]Kocha Azam Aapa Kutibua Ubingwa Yanga[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/kocha-azam.jpg[/IMG] BAADA ya Jumatano kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Namungo, Kocha Mkuu wa Azam, Abdul Hamid Moallin, ameweka wazi kuwa amefurahishwa na ari na upambanaji wa mastaa wa kikosi hicho na kuapa kuwa anataka kuona wanaendeleza hilo katika kila mchezo, hususani mchezo wao ujao dhidi ya Yanga. Azam ambayo ilicheza michezo mitatu mfululizo bila matokeo ya ushindi, juzi Jumatano walitoka nyuma kwa bao 1-0 na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namungo, ushindi ambao umewafanya wapande hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo na pointi 28 walizokusanya kwenye michezo 18. Baada ya ushindi huo, Azam sasa wanajipanga kuvaana na Yanga ambao wanaonekana kudhamiria kushinda ubingwa msimu huu katika mchezo wao ujao wa ligi kuu, uliopangwa kuchezwa Aprili 6, mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Akizungumza na Championi Ijumaa, Kocha Moallin alisema: “Kwanza kabisa nawapongeza sana wachezaji wangu kwa namna ambavyo walipambana katika mchezo wetu uliopita dhidi ya Namungo, ni wazi ulikuwa mchezo mgumu sana kwetu, nadhani tulikuwa tunakosa upambanaji wa namna hii kwenye michezo yetu iliyopita. “Ninaitaka Azam ninayoifundisha mimi icheze kwa kiwango hiki kwa kila mchezo ulio mbele yetu hususan mchezo dhidi ya Yanga ambao najua ni mchezo mkubwa, lazima tuhakikishe tunatumia faida ya kucheza nyumbani kupata matokeo dhidi yao.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom