Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TIMU ya Azam FC itakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya DTB Jumanne Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Kwa Azam, mechi hiyo ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC Aprili 6, mwaka huu hapo hapo Azam Complex.

Na kwa DTB mechi hiyo ni ya kujipanga kwa michezo yake ijayo ya ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu, ijulikanayo kama Championship.

Ikumbukwe Yanga wao watakuwa na mechi ya kujipima pia Jumatano hapo hapo Chamazi dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar.

[QUOTE="Amir, post: 1326, member: 20"] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirUiL8KNuKXy8kHWpaB7YeqRGF4ZAr-Xnv-HbL0HKe6KeAzlmfzuBi8vJZZcJntDi_hoQXzvu_cMKZ5IC5hZzE-u12AfXTjlIN3mNebjCieYM19iqSAhXRLW0Eu9qLRA9RUcHKDWNg6yFeEmDkhmxhNyJELB9zCvQJ6uK0ZK8O2V2l0EYnFm048TFf/w640-h622/D94E22AD-53B7-4CA0-A706-45E350C1AB71.jpeg[/IMG] TIMU ya Azam FC itakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya DTB Jumanne Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa Azam, mechi hiyo ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC Aprili 6, mwaka huu hapo hapo Azam Complex. Na kwa DTB mechi hiyo ni ya kujipanga kwa michezo yake ijayo ya ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu, ijulikanayo kama Championship. Ikumbukwe Yanga wao watakuwa na mechi ya kujipima pia Jumatano hapo hapo Chamazi dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar. [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgB7C0BGkkchOCjX_NkgB7PzHG4bEFrJzuf6DfXaLMX8YbtMWY2i1EkxWnToNOxMeEgYn3lRFnqztRIVDGlLSOQ--csFlfctFDU9BiZXO4aOa4rdu15__5cMZ424xn4yKryX7_TWIwcHpY4NY3BobR7Bfi4J5k22hLWL-ttrBXy6kdU_03xzUcEHz0L/w640-h640/31F19BB9-EBCC-4AE2-A4AE-19D5DA4EE922.jpeg[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom