Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chilunda Kukaa Nje kwa Muda wa Wiki Nne, Daktari Adai Haitaji Upasuaji

Shaban Chilunda akiwa nchini Afrika Kusini kupata matibabu ya goti

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Azam FC Shaaban Iddi Chilunda anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki nne baada ya kupata majeraha ya goti katika mchezo wa kirafiki kati ya Azam FC na Dtb.

Chilunda akiongoza na Daktari wa Timu Dkt Mwanandi Mwankemwa wameelekea Cape Town Afrika ya Kusini kwa ajili ya kufanya vipimo vya MRI kutokana na majeraha hayo.

Baada ya kufanyiwa vipimo hivyo amegundulika kupata madhara ya kuumia Mtulinga (Ligament) wa Kati-Pembeni, hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka Klabuni.

Chilunda akiwa katika majukumu na Klabu yake ya Azam

Daktari Robert Nicolas kutoka Hospitali ya Orthopaedic Surgeon Vicente Palloti ambaye anamfanyia uchunguzi amethibitisha kuwa Chilunda hana haja ya kufanyiwa upasuaji lakini anatakiwa kae nje ya Uwanja kwa takribani wiki nne baada ya hapo ataanza kufanya mazoezi mapesi na atakuwa amepona kabisa.

[QUOTE="Amir, post: 1377, member: 20"] [HEADING=1]Chilunda Kukaa Nje kwa Muda wa Wiki Nne, Daktari Adai Haitaji Upasuaji[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/chilunda.jpg[/IMG] [B][I] Shaban Chilunda akiwa nchini Afrika Kusini kupata matibabu ya goti[/I][/B] MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Azam FC Shaaban Iddi Chilunda anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki nne baada ya kupata majeraha ya goti katika mchezo wa kirafiki kati ya Azam FC na Dtb. Chilunda akiongoza na Daktari wa Timu Dkt Mwanandi Mwankemwa wameelekea Cape Town Afrika ya Kusini kwa ajili ya kufanya vipimo vya MRI kutokana na majeraha hayo. Baada ya kufanyiwa vipimo hivyo amegundulika kupata madhara ya kuumia Mtulinga (Ligament) wa Kati-Pembeni, hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka Klabuni. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/chilunda.webp[/IMG] [I][B] Chilunda akiwa katika majukumu na Klabu yake ya Azam[/B][/I] Daktari Robert Nicolas kutoka Hospitali ya Orthopaedic Surgeon Vicente Palloti ambaye anamfanyia uchunguzi amethibitisha kuwa Chilunda hana haja ya kufanyiwa upasuaji lakini anatakiwa kae nje ya Uwanja kwa takribani wiki nne baada ya hapo ataanza kufanya mazoezi mapesi na atakuwa amepona kabisa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom