Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

AZAM FC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-1 MANUNGU

TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.

Mabao ya Azam FC yamefungwa na Ayoub Lyanga yote dakika ya 20 na 54, wakati bao pekee la Mtibwa Sugar limefungwa na Said Ndemla dakika ya 80.

Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 36 na kupanda nafasi ya nne, ikizidiwa pointi moja na Namungo FC baada ya wote kucheza mechi 25, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake 28 za mechi 25 pia nafasi ya 10.

[QUOTE="Amir, post: 1488, member: 20"] [HEADING=2]AZAM FC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-1 MANUNGU[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcxGts56ujvkrNXuenjp2uaEsDXog8kK1W7qA-1HdHOUmGse5I-ApmIECqrv6NvLjMY5VVAuKL-YPajeunroaBwb0k_MASTwZta9-rkisEYwy6995MSg4lc9PEB27NjuN6T3kXKPn9vQdVK49KB8farup5uZIk53hj4vcbpT53VFecOchhExQQEJxc/s1242/AB3644BA-6A54-4567-B8C0-A481B5E118E4.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcxGts56ujvkrNXuenjp2uaEsDXog8kK1W7qA-1HdHOUmGse5I-ApmIECqrv6NvLjMY5VVAuKL-YPajeunroaBwb0k_MASTwZta9-rkisEYwy6995MSg4lc9PEB27NjuN6T3kXKPn9vQdVK49KB8farup5uZIk53hj4vcbpT53VFecOchhExQQEJxc/w640-h590/AB3644BA-6A54-4567-B8C0-A481B5E118E4.jpeg[/IMG][/URL] TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Mabao ya Azam FC yamefungwa na Ayoub Lyanga yote dakika ya 20 na 54, wakati bao pekee la Mtibwa Sugar limefungwa na Said Ndemla dakika ya 80. Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 36 na kupanda nafasi ya nne, ikizidiwa pointi moja na Namungo FC baada ya wote kucheza mechi 25, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake 28 za mechi 25 pia nafasi ya 10. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom