Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mmarekani wa Azam Atangaza Kuutaka Ubingwa wa Simba.

KOCHA Mkuu wa Azam raia wa Marekani, Abdi Hamid Moallin ameweka wazi kuwa kipaumbele chake kikubwa

mara baada ya kurasimishwa kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, ni kuhakikisha wanashinda ubingwa wa

Kombe la Shirikisho laAzam (FA) linalotetewa na Simba.

Moallin alitangazwa rasmi kuchukua majukumu ya ukocha mkuu ndani ya kikosi chaAzam

Januari 25, mwaka huu mara baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa mafanikio kama kaimu kocha mkuu tangu Desemba mwaka jana.

Tayari chini yakeAzam kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho laAzam wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora mara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa hatua ya 32 bora dhidi ya Transit Camp, ambapo sasa watavaana na Baga Friends.

Akizungumza na Championi Jumatano, Kocha Moallin alisema: “Ni jambo zuri kuona kikosi chetu kimefanikiwa kufika hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho, tunayo malengo mengi kama timu msimu huu.

“Lakini lengo kubwa la muda mfupi ni kuhakikisha tunapata nafasi ya kucheza fainali ya michuano hii na kutwaa ubingwa, ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kucheza mashindano ya kimataifa mwakani.”

[QUOTE="Amir, post: 703, member: 20"] [HEADING=1]Mmarekani wa Azam Atangaza Kuutaka Ubingwa wa Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/AZAM-1.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Azam raia wa Marekani, Abdi Hamid Moallin ameweka wazi kuwa kipaumbele chake kikubwa mara baada ya kurasimishwa kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, ni kuhakikisha wanashinda ubingwa wa Kombe la Shirikisho laAzam (FA) linalotetewa na Simba. Moallin alitangazwa rasmi kuchukua majukumu ya ukocha mkuu ndani ya kikosi chaAzam Januari 25, mwaka huu mara baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa mafanikio kama kaimu kocha mkuu tangu Desemba mwaka jana. Tayari chini yakeAzam kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho laAzam wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora mara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa hatua ya 32 bora dhidi ya Transit Camp, ambapo sasa watavaana na Baga Friends. Akizungumza na Championi Jumatano, Kocha Moallin alisema: “Ni jambo zuri kuona kikosi chetu kimefanikiwa kufika hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho, tunayo malengo mengi kama timu msimu huu. “Lakini lengo kubwa la muda mfupi ni kuhakikisha tunapata nafasi ya kucheza fainali ya michuano hii na kutwaa ubingwa, ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kucheza mashindano ya kimataifa mwakani.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom