Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Moallin awaza ku

vunja ufalme wa Simba, Yanga, Sakho amstua.

KITENDO cha kuota nyasi kibarua cha Mzambia George Lwandamina katika timu ya Azam FC ilikuwa ni neema kwa Abdihamid Moallin ‘Master Lecturer’ ambaye mabosi wa timu hiyo walimteua kusaidiana na Mohamed Badru kukiongoza kikosi hicho.

Awali, Moallin alikuwa akihudumu Azam kwa wiki kadhaa kama mkurugenzi wa ufundi wa kituo cha kukuza vipaji, huku Badru akiwa kocha wa vijana hao ambao wamegawanyika katika makundi tofauti.

Mbali na kuwa na jukumu la ukurugenzi wa ufundi alikuwa akitumika kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo kama mchambuzi wa mechi (analyst), aliwajibika kufanya kazi kwa karibu na Lwandamina kabla ya kufungashiwa virago.

Mabosi wa timu hiyo waliona Moallin na Badru wanatosha kubeba jukumu la Mzambia huyo kwa muda wakati wakiangalia nani ya kumbebesha mikoba ili awarejeshe kwenye mstari kufuatia kuwa na mwenendo mbaya Ligi Kuu.

Moallin alionekana kumudu hilo kiasi cha mabosi wa Azam kuona anatosha kuwa kocha wa moja kwa moja wa timu hiyo na mwishowe wakampa mkataba wa miaka mitatu na kubatizwa jina la Master Lecturer kutokana na kile alichokifanya kwenye kikosi kipindi kifupi.

Mwanaspoti lilifanya mahojiano maalumu na kocha huyo ambaye amewahi kufanya kazi kwenye Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS) katika timu ya Columbus Crew (2014-2016) kama kocha msaidizi wa timu hiyo na timu za vijana.

Moallin anafunguka mengi ikiwemo ubora wa viwango vya Simba na Yanga kwenye vita ya ubingwa huku akilinganisha na kikosi chake, kuondoka kwa Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na ujio wa Ibrahim Ajib ‘Cadabra’ kikosini.

KILICHOMVUTA CHAMAZI

Wakati akiwa na timu ya Horseed ya Somalia, Moallin anasema alikuja Tanzania kucheza kuwania nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Afrika dhidi ya Azam, lakini cha ajabu ni mazingira ambayo alikutana nayo.

“Yalikuwa mazingira mazuri ambayo kiukweli yalinivutia sana hasa upande wa miundombinu. Nilisema hii ni klabu inayojitosheleza. Niliendelea na mipango ya mchezo lakini bahati mbaya tulitolewa,” anasema. Baada ya kuondolewa kwa jumla ya mabao 4-1, kocha huyo anasema ulikuwa mwanzo wa uhusiano baina yake na Azam FC na kwa wakati huo hakuwa na mawazo kuwa atapata kibarua cha kufanya kazi ndani ya klabu hiyo.

“Hakuna ambaye anaweza kuijua kesho yake ndicho kilichotokea kwani mawasiliano yaliendelea na mwishowe walipendelea niwe sehemu ya klabu yao kwa kujikita kwenye maendeleo ya soka la vijana,” anasema.

KUONDOKA LWANDAMINA

Moallin anasema hakufurahia kufungashiwa virago kwa Lwandamina, lakini anaamini ulikuwa uamuzi ambao ulizingatia maslahi ya pande mbili kutokana na mwenendo wa timu.

“Wakati mwingine kwenye mpira kuna mambo ambayo hutokea bila kutarajiwa. Kama ukurasa ulishafungwa na maisha mengine yanaendelea,” anasema.

ABADILI UPEPO

Moallin anasema baada ya kukabidhiwa timu ili kukaimu nafasi ya Lwandamina alianza kutekeleza majukumu kwa kukaa na mchezaji mmojammoja ili kurejesha morali ya timu kabla ya kuanza kufanyia kazi falsafa za kucheza soka safi la kushambulia kwa kasi. “Haikuwa rahisi lakini nashukuru Mungu kwa sababu kila kitu kilienda vizuri na wachezaji walikuwa tayari kubadili mwelekeo wa timu. Nilijitahidi kumfanya kila mchezaji ajisikie kuwa sehemu ya timu. Kila ambaye alionyesha nilimpa nafasi na ndio siri iliyoturejesha kwenye mstari,” anasema.

NAFASI YA MAKINDA

Kocha huyo anasema umri sio kigezo cha mchezaji kupata namba ya kucheza kikosini, badala yake kipaumbele chake ni uwezo.

“Mchezaji yeyote anaweza kupata namba kwenye kikosi changu, kikubwa ni kuona vile anaweza kuyabeba majukumu na kutekeleza,” anasema Moallin.

“Siwezi kumnyima nafasi mchezaji eti kwa sababu ya udogo wa umri wake na kama ni hivyo, basi Tepsi (Evans) asingekuwa anapata namba kwenye kikosi changu. Navutiwa na uchezaji wake na yeyote ambaye atafanya zaidi atakuwa chaguo langu.”

Katika kusaidia vijana, Moallin anasema amekuwa akiwajengea uwezo na kuwaonyesha njia ambavyo wanaweza kutimiza ndoto zao.

“Nipo mstari wa mbele kusaidia wachezaji wanaochipukia kwa faida ya Azam kwa miaka ijayo na hata Tanzania kwa ujumla. Hilo lipo mikononi mwangu.”

AJIBU NI BALAA

Muda mfupi baada ya kuachwa na Simba na kutua zake Azam FC, kiwango cha Ibrahim Ajibu kimemkuna kocha huyo anayesema anatarajia makubwa zaidi kutoka kwa fundi huyo ambaye aliwahi kuwika kwa nyakati tofauti Simba na Yanga. “Anaonekana kuwa ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa. Kiukweli nimevutiwa na kiwango chake. Nataka kumfanya awe huru zaidi ili awape furaha mashabiki wa Azam na akawe na faida kwenye timu,” anasema Moallin.

SURE BOY

Akimzungumzia kiungo wa zamani wa Azam Abubakar salum ‘Suare Boy’, kocha huyo anasema: “Sikupata bahati ya kufanya naye kazi maana nakumbuka kipindi kile alikuwa na adhabu. Pia sikuwa kwenye nafasi ya kufanya lolote, lakini nikiri kuwa ni mchezaji mzuri na mwenye heshima kubwa.”

MBIO ZA UBINGWA

Licha ya uwepo wa tofauti ya pointi 12 kati yao Azam FC na vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Moallin anasema wanachokifanya ni kama kumkimbiza mwizi kimyakimya.

Kocha huyo anaamini kuwa lolote linaweza kutokea mbeleni, hivyo wanapaswa kuweka mkazo kila mchezo mbele yao ili kuhakikisha wanajikusanyia pointi za kutosha zitakazowasaidia kufikia lengo mwisho wa msimu.

“Bado tuna nafasi ya kupigania ubingwa. Nimezungumza na wachezaji wangu na kuwaeleza kuwa sisi ni washindi na tunapaswa kuthibitisha hilo. Haijalishi kuwa utofauti wa pointi ni mkubwa kwa kiasi gani, shabaha yetu inatakiwa kuwa kwenye kukusanya pointi,” anasema.

“Hizi ni mbio ndefu ambazo lolote linaweza kutokea mbeleni. Tunatakiwa kuona kuwa ligi ni kama inaenda kuanza hivyo nafasi ipo wazi kwa kila timu.”

SIMBA, YANGA ZIJIPANGE

Kuhusu ubora wa Yanga na Simba, Master Lecturer anasema hilo wala halimnyimi usingizi kwani anaamini ana kikosi bora na kipana ambacho kinaweza kukabiliana na timu yoyote kwenye ligi bila tatizo lolote.

“Nataka kuifanya Azam kuwa timu tishio sio kwa ligi ya ndani tu, bali hata kwenye mashindano ya kimataifa. Taratibu watu wataona kiuhalisia hiki ninachosema. Hakuna timu ambayo inaniumiza kichwa ni suala la muda tu,” anasema.

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Azam wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 24 walizovuna kwenye michezo 14, wakiachwa pointi saba na Simba ambao

wana mchezo mmoja mbele huku wakiwa na pointi 31 katika nafasi ya pili.

SAKHO AMSTUA

Mchezaji hatari ambaye amemstua Moallin kwenye ligi ni Pape Sakho wa Simba na anasema dawa yake inachemka maana alimsumbua kwenye michezo yote miwili ambayo amekutana na Simba ukiwemo wa fainali ya Mapinduzi.

“Ni mchezaji hatari sana yule. Kasi yake ilitupa wakati mgumu jinsi ya kukabiliana naye. Alitulazimisha kufanya makosa,” anasema

UVUMI KUTUA SIMBA

Licha ya tetesi kuwa alikuwa kwenye rada za Simba kufuatia kuondoka kwa Thierry Hitimana, Moallin anasema alikuja nchini kwa ajili ya Azam.

“Azam ndio klabu iliyonifanya kuja Tanzania na nina furaha hapa. Shabaha yangu ni kuifikisha nchi ya ahadi.”

MALENGO YAKE

Kuhusu malengo anasema: “Nataka kuifanya Azam kuwa klabu ya mataji, hilo ndio lengo langu kubwa na hakuna ambacho kinashindikana kwa sababu mpira ni mchezo wa wazi, hivyo kama wao ni bora basi natakiwa kuwaandaa vijana wangu kuwa bora zaidi yao.

“Hatuna sababu ya kushindwa. Najua mashabiki wetu wanatamani kuona tukitimiza hilo, hivyo niwatoe shaka kuwa hatutakuwa washiriki tu kwa maana ya kusindikiza klabu nyingine kutwaa mataji.”

MAKOCHA WALIOPITA AZAM

Athuman Kikila (2004), Mohamed Seif ‘King’ (2004–2008), Neidar Dos Santos (2008–09), Itamar Amorin (2009–10), Sylvester Marsh walikuwa kocha wa muda (2010), Stewart John Hall (2010–12), Vivek Nagul (muda) (2012).

Boris Bunjak (2012), Hall alirejea tena Chamazi (2012–13), Joseph Omog (2013–2015), George ‘Best’ Nsimbe (muda) (2015), Hall urejeo wake wa awamu ya tatu (2015–2016), Zeben Hernandez (2016), Aristica Cioaba (2017–2018)

Hans van der Pluijm (2018–2019), Meja Mstaafu Abdul Mingange (muda) (2019), Etienne Ndayiragije (2019), Aristica Cioaba akarejea tena (2019–2020) na wa mwisho kabla ya Moallin ni Mzambia, George Lwandamina (2020-2021).

[QUOTE="mhariri, post: 911, member: 122"] [HEADING=1]Moallin awaza ku[/HEADING] [HEADING=1]vunja ufalme wa Simba, Yanga, Sakho amstua.[/HEADING] [IMG alt="moalin pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3716616/f65cfdee4c9c5476a6edfd0d862fe65e/moalin-pic-data.jpg[/IMG] KITENDO cha kuota nyasi kibarua cha Mzambia George Lwandamina katika timu ya Azam FC ilikuwa ni neema kwa Abdihamid Moallin ‘Master Lecturer’ ambaye mabosi wa timu hiyo walimteua kusaidiana na Mohamed Badru kukiongoza kikosi hicho. Awali, Moallin alikuwa akihudumu Azam kwa wiki kadhaa kama mkurugenzi wa ufundi wa kituo cha kukuza vipaji, huku Badru akiwa kocha wa vijana hao ambao wamegawanyika katika makundi tofauti. Mbali na kuwa na jukumu la ukurugenzi wa ufundi alikuwa akitumika kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo kama mchambuzi wa mechi (analyst), aliwajibika kufanya kazi kwa karibu na Lwandamina kabla ya kufungashiwa virago. Mabosi wa timu hiyo waliona Moallin na Badru wanatosha kubeba jukumu la Mzambia huyo kwa muda wakati wakiangalia nani ya kumbebesha mikoba ili awarejeshe kwenye mstari kufuatia kuwa na mwenendo mbaya Ligi Kuu. Moallin alionekana kumudu hilo kiasi cha mabosi wa Azam kuona anatosha kuwa kocha wa moja kwa moja wa timu hiyo na mwishowe wakampa mkataba wa miaka mitatu na kubatizwa jina la Master Lecturer kutokana na kile alichokifanya kwenye kikosi kipindi kifupi. Mwanaspoti lilifanya mahojiano maalumu na kocha huyo ambaye amewahi kufanya kazi kwenye Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS) katika timu ya Columbus Crew (2014-2016) kama kocha msaidizi wa timu hiyo na timu za vijana. Moallin anafunguka mengi ikiwemo ubora wa viwango vya Simba na Yanga kwenye vita ya ubingwa huku akilinganisha na kikosi chake, kuondoka kwa Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na ujio wa Ibrahim Ajib ‘Cadabra’ kikosini. [B]KILICHOMVUTA CHAMAZI[/B] Wakati akiwa na timu ya Horseed ya Somalia, Moallin anasema alikuja Tanzania kucheza kuwania nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Afrika dhidi ya Azam, lakini cha ajabu ni mazingira ambayo alikutana nayo. “Yalikuwa mazingira mazuri ambayo kiukweli yalinivutia sana hasa upande wa miundombinu. Nilisema hii ni klabu inayojitosheleza. Niliendelea na mipango ya mchezo lakini bahati mbaya tulitolewa,” anasema. Baada ya kuondolewa kwa jumla ya mabao 4-1, kocha huyo anasema ulikuwa mwanzo wa uhusiano baina yake na Azam FC na kwa wakati huo hakuwa na mawazo kuwa atapata kibarua cha kufanya kazi ndani ya klabu hiyo. “Hakuna ambaye anaweza kuijua kesho yake ndicho kilichotokea kwani mawasiliano yaliendelea na mwishowe walipendelea niwe sehemu ya klabu yao kwa kujikita kwenye maendeleo ya soka la vijana,” anasema. [B]KUONDOKA LWANDAMINA[/B] Moallin anasema hakufurahia kufungashiwa virago kwa Lwandamina, lakini anaamini ulikuwa uamuzi ambao ulizingatia maslahi ya pande mbili kutokana na mwenendo wa timu. “Wakati mwingine kwenye mpira kuna mambo ambayo hutokea bila kutarajiwa. Kama ukurasa ulishafungwa na maisha mengine yanaendelea,” anasema. [B]ABADILI UPEPO[/B] Moallin anasema baada ya kukabidhiwa timu ili kukaimu nafasi ya Lwandamina alianza kutekeleza majukumu kwa kukaa na mchezaji mmojammoja ili kurejesha morali ya timu kabla ya kuanza kufanyia kazi falsafa za kucheza soka safi la kushambulia kwa kasi. “Haikuwa rahisi lakini nashukuru Mungu kwa sababu kila kitu kilienda vizuri na wachezaji walikuwa tayari kubadili mwelekeo wa timu. Nilijitahidi kumfanya kila mchezaji ajisikie kuwa sehemu ya timu. Kila ambaye alionyesha nilimpa nafasi na ndio siri iliyoturejesha kwenye mstari,” anasema. [B]NAFASI YA MAKINDA[/B] Kocha huyo anasema umri sio kigezo cha mchezaji kupata namba ya kucheza kikosini, badala yake kipaumbele chake ni uwezo. “Mchezaji yeyote anaweza kupata namba kwenye kikosi changu, kikubwa ni kuona vile anaweza kuyabeba majukumu na kutekeleza,” anasema Moallin. “Siwezi kumnyima nafasi mchezaji eti kwa sababu ya udogo wa umri wake na kama ni hivyo, basi Tepsi (Evans) asingekuwa anapata namba kwenye kikosi changu. Navutiwa na uchezaji wake na yeyote ambaye atafanya zaidi atakuwa chaguo langu.” Katika kusaidia vijana, Moallin anasema amekuwa akiwajengea uwezo na kuwaonyesha njia ambavyo wanaweza kutimiza ndoto zao. “Nipo mstari wa mbele kusaidia wachezaji wanaochipukia kwa faida ya Azam kwa miaka ijayo na hata Tanzania kwa ujumla. Hilo lipo mikononi mwangu.” [B]AJIBU NI BALAA[/B] Muda mfupi baada ya kuachwa na Simba na kutua zake Azam FC, kiwango cha Ibrahim Ajibu kimemkuna kocha huyo anayesema anatarajia makubwa zaidi kutoka kwa fundi huyo ambaye aliwahi kuwika kwa nyakati tofauti Simba na Yanga. “Anaonekana kuwa ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa. Kiukweli nimevutiwa na kiwango chake. Nataka kumfanya awe huru zaidi ili awape furaha mashabiki wa Azam na akawe na faida kwenye timu,” anasema Moallin. [B]SURE BOY[/B] Akimzungumzia kiungo wa zamani wa Azam Abubakar salum ‘Suare Boy’, kocha huyo anasema: “Sikupata bahati ya kufanya naye kazi maana nakumbuka kipindi kile alikuwa na adhabu. Pia sikuwa kwenye nafasi ya kufanya lolote, lakini nikiri kuwa ni mchezaji mzuri na mwenye heshima kubwa.” [B]MBIO ZA UBINGWA[/B] Licha ya uwepo wa tofauti ya pointi 12 kati yao Azam FC na vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Moallin anasema wanachokifanya ni kama kumkimbiza mwizi kimyakimya. Kocha huyo anaamini kuwa lolote linaweza kutokea mbeleni, hivyo wanapaswa kuweka mkazo kila mchezo mbele yao ili kuhakikisha wanajikusanyia pointi za kutosha zitakazowasaidia kufikia lengo mwisho wa msimu. “Bado tuna nafasi ya kupigania ubingwa. Nimezungumza na wachezaji wangu na kuwaeleza kuwa sisi ni washindi na tunapaswa kuthibitisha hilo. Haijalishi kuwa utofauti wa pointi ni mkubwa kwa kiasi gani, shabaha yetu inatakiwa kuwa kwenye kukusanya pointi,” anasema. “Hizi ni mbio ndefu ambazo lolote linaweza kutokea mbeleni. Tunatakiwa kuona kuwa ligi ni kama inaenda kuanza hivyo nafasi ipo wazi kwa kila timu.” [B]SIMBA, YANGA ZIJIPANGE[/B] Kuhusu ubora wa Yanga na Simba, Master Lecturer anasema hilo wala halimnyimi usingizi kwani anaamini ana kikosi bora na kipana ambacho kinaweza kukabiliana na timu yoyote kwenye ligi bila tatizo lolote. “Nataka kuifanya Azam kuwa timu tishio sio kwa ligi ya ndani tu, bali hata kwenye mashindano ya kimataifa. Taratibu watu wataona kiuhalisia hiki ninachosema. Hakuna timu ambayo inaniumiza kichwa ni suala la muda tu,” anasema. Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Azam wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 24 walizovuna kwenye michezo 14, wakiachwa pointi saba na Simba ambao wana mchezo mmoja mbele huku wakiwa na pointi 31 katika nafasi ya pili. [B]SAKHO AMSTUA[/B] Mchezaji hatari ambaye amemstua Moallin kwenye ligi ni Pape Sakho wa Simba na anasema dawa yake inachemka maana alimsumbua kwenye michezo yote miwili ambayo amekutana na Simba ukiwemo wa fainali ya Mapinduzi. “Ni mchezaji hatari sana yule. Kasi yake ilitupa wakati mgumu jinsi ya kukabiliana naye. Alitulazimisha kufanya makosa,” anasema [B]UVUMI KUTUA SIMBA[/B] Licha ya tetesi kuwa alikuwa kwenye rada za Simba kufuatia kuondoka kwa Thierry Hitimana, Moallin anasema alikuja nchini kwa ajili ya Azam. “Azam ndio klabu iliyonifanya kuja Tanzania na nina furaha hapa. Shabaha yangu ni kuifikisha nchi ya ahadi.” [B]MALENGO YAKE[/B] Kuhusu malengo anasema: “Nataka kuifanya Azam kuwa klabu ya mataji, hilo ndio lengo langu kubwa na hakuna ambacho kinashindikana kwa sababu mpira ni mchezo wa wazi, hivyo kama wao ni bora basi natakiwa kuwaandaa vijana wangu kuwa bora zaidi yao. “Hatuna sababu ya kushindwa. Najua mashabiki wetu wanatamani kuona tukitimiza hilo, hivyo niwatoe shaka kuwa hatutakuwa washiriki tu kwa maana ya kusindikiza klabu nyingine kutwaa mataji.” [B]MAKOCHA WALIOPITA AZAM[/B] Athuman Kikila (2004), Mohamed Seif ‘King’ (2004–2008), Neidar Dos Santos (2008–09), Itamar Amorin (2009–10), Sylvester Marsh walikuwa kocha wa muda (2010), Stewart John Hall (2010–12), Vivek Nagul (muda) (2012). Boris Bunjak (2012), Hall alirejea tena Chamazi (2012–13), Joseph Omog (2013–2015), George ‘Best’ Nsimbe (muda) (2015), Hall urejeo wake wa awamu ya tatu (2015–2016), Zeben Hernandez (2016), Aristica Cioaba (2017–2018) Hans van der Pluijm (2018–2019), Meja Mstaafu Abdul Mingange (muda) (2019), Etienne Ndayiragije (2019), Aristica Cioaba akarejea tena (2019–2020) na wa mwisho kabla ya Moallin ni Mzambia, George Lwandamina (2020-2021). [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom