Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Azam ndo kwanza asilimia 60.

AZAM FC imezidi kunoga baada ya juzi usiku kuisambaratisha Baga Friends ya Pwani kwa mabao 6-0 na kutinga robo fainali ya michuano ya ASFC, huku kocha wake, Abdihamid Moallin akifichua eti mziki wote huo ndio kwanza asilimia 60 tu.

Kwa siku za hivi karibuni tangu Azam iachane na Mzambia George Lwandamina, timu hiyo imekuwa ya moto chini ya Moallin, ikitoka eneo la kati la msimamo wa Ligi Kuu Bara hadi nafasi ya tatu na juzi iligawa dozi nene kwa Baga katika ASFC.

Hata hivyo, Kocha Moallin alisema pamoja na mfululizo wa matokeo ya ushindi na kucheza soka safi, Azam bado haijafika kwenye kiwango anachoitaka icheze na sasa ipo kati ya wastani wa asilimia 55 hadi 65 ya ubora anaoutaka.

“Nafurahishwa na kile wachezaji wanachokionyesha, kila mmoja anajituma na kufuata maelekezo ipaswavyo, huu ni muendelezo wa malengo yetu kwa msimu huu japo bado hatujafikia asilimia 100 ya ubora ninaoutaka,” alisema Moallin.

“Naangalia zaidi mchezo ujao, hivyo nawapa wachezaji mbinu na mazoezi maalumu kuhusu mchezo unaofuata na kwa kufanya hivyo siku hadi siku naamini ubora utazidi kupanda na kuifanya Azam iwe timu tishio hapa nchini,” aliongeza.

Moallin pia alifunguka kuwa siri kubwa ya matokeo chanya inayoyapata Azam kwa sasa ni kutokana na kuwapa elimu wachezaji wake ya kujitambua na kujiamini zaidi.

“Ujue wachezaji wengi hapa Bongo wana woga, wanaamini Simba na Yanga ndio timu bora. Mimi niliwaeleza hawawezi kufanya vizuri kama hawajiamini kuwa ni bora na kuwataka wajiweke namba moja kwanza kisha wengine wafuate na hilo wamelitimiza na limewaongezea nguvu na kujiamini,” alisema.

Katika michezo sita iliyopita, Azam imeshinda yote dhidi ya Mbeya Kwanza 1-0, Tanzania Prisons 4-0, Transit Camp 1-0, Dodoma Jiji 2-0 na Baga Friends 6-0.

Katika mechi hiyo ya juzi iliyoivusha Azam hadi robo fainali ikiungana na Geita Gold iliyoing’oa Mbuni ya Arusha kwa bao 1-0 lililifungwa na George Mpole, mabao ya Azam yalifungwa na Charles Zulu aliyefunga kwa penalti dakika ya 15, kisha Paul Peter akapiga hat trick dakika 18, 20 na 44, kabla ya Paul Katema na Daniel Amoah kuongeza mengine dakika ya 54 na 89.

[QUOTE="Amir, post: 915, member: 20"] [HEADING=1]Azam ndo kwanza asilimia 60.[/HEADING] [IMG alt="azam pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3717208/landscape_ratio16x9/1160/652/a7dc428fb48a4554a99f75295e6df938/YO/azam-pic.jpg[/IMG] AZAM FC imezidi kunoga baada ya juzi usiku kuisambaratisha Baga Friends ya Pwani kwa mabao 6-0 na kutinga robo fainali ya michuano ya ASFC, huku kocha wake, Abdihamid Moallin akifichua eti mziki wote huo ndio kwanza asilimia 60 tu. Kwa siku za hivi karibuni tangu Azam iachane na Mzambia George Lwandamina, timu hiyo imekuwa ya moto chini ya Moallin, ikitoka eneo la kati la msimamo wa Ligi Kuu Bara hadi nafasi ya tatu na juzi iligawa dozi nene kwa Baga katika ASFC. Hata hivyo, Kocha Moallin alisema pamoja na mfululizo wa matokeo ya ushindi na kucheza soka safi, Azam bado haijafika kwenye kiwango anachoitaka icheze na sasa ipo kati ya wastani wa asilimia 55 hadi 65 ya ubora anaoutaka. “Nafurahishwa na kile wachezaji wanachokionyesha, kila mmoja anajituma na kufuata maelekezo ipaswavyo, huu ni muendelezo wa malengo yetu kwa msimu huu japo bado hatujafikia asilimia 100 ya ubora ninaoutaka,” alisema Moallin. “Naangalia zaidi mchezo ujao, hivyo nawapa wachezaji mbinu na mazoezi maalumu kuhusu mchezo unaofuata na kwa kufanya hivyo siku hadi siku naamini ubora utazidi kupanda na kuifanya Azam iwe timu tishio hapa nchini,” aliongeza. Moallin pia alifunguka kuwa siri kubwa ya matokeo chanya inayoyapata Azam kwa sasa ni kutokana na kuwapa elimu wachezaji wake ya kujitambua na kujiamini zaidi. “Ujue wachezaji wengi hapa Bongo wana woga, wanaamini Simba na Yanga ndio timu bora. Mimi niliwaeleza hawawezi kufanya vizuri kama hawajiamini kuwa ni bora na kuwataka wajiweke namba moja kwanza kisha wengine wafuate na hilo wamelitimiza na limewaongezea nguvu na kujiamini,” alisema. Katika michezo sita iliyopita, Azam imeshinda yote dhidi ya Mbeya Kwanza 1-0, Tanzania Prisons 4-0, Transit Camp 1-0, Dodoma Jiji 2-0 na Baga Friends 6-0. Katika mechi hiyo ya juzi iliyoivusha Azam hadi robo fainali ikiungana na Geita Gold iliyoing’oa Mbuni ya Arusha kwa bao 1-0 lililifungwa na George Mpole, mabao ya Azam yalifungwa na Charles Zulu aliyefunga kwa penalti dakika ya 15, kisha Paul Peter akapiga hat trick dakika 18, 20 na 44, kabla ya Paul Katema na Daniel Amoah kuongeza mengine dakika ya 54 na 89. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZAM SC
Top
Bottom