Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Azam vs Tanzania Prison 3-0
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Game ya Azam Jana ilikuwa Ni mwendelezo wa Azam kuonyesha kuwa Sasa amekuwa ana team kubwa yenye wachezaji wakubwa

Ameutawala mpira kila eneo hasa pale katikati Akamiko anapeleka mipira mbele unamuona Kipre akipokea mipira mabeki wa Prison wote wanamfata na wakati huo Dube yupo kwenye Boks Nyuma Kuna mabeki wawili lakini hawaangalii hatua za Dube wao wanatazama mpira

Mpira unafika kwa Dube unakuwa rahisi kuwekwa kambani sababu alishakuwa na hatua ambazo mabeki wa Prison hawakuwa na uangalizi.

Bao la Pili pia tunaona linapigwa shuti ambalo kipa anashindwa kabisa kulidaka lile shuti limepigwa mbele ya mabeki na viungo so pale kipa huwezi mlaumu Ila team nzima ya Prison ilizidiwa na Azam wamekuwa kwenye kiwango kikubwa Cha muendelezo wa ushindi

SOPU wa bakharesa hapoi kwenye upachikaji wa magoli hapa usajili wao umelipa

[ATTACH=full]1044[/ATTACH]

[QUOTE="JohBwax, post: 2967, member: 466"] Game ya Azam Jana ilikuwa Ni mwendelezo wa Azam kuonyesha kuwa Sasa amekuwa ana team kubwa yenye wachezaji wakubwa Ameutawala mpira kila eneo hasa pale katikati Akamiko anapeleka mipira mbele unamuona Kipre akipokea mipira mabeki wa Prison wote wanamfata na wakati huo Dube yupo kwenye Boks Nyuma Kuna mabeki wawili lakini hawaangalii hatua za Dube wao wanatazama mpira Mpira unafika kwa Dube unakuwa rahisi kuwekwa kambani sababu alishakuwa na hatua ambazo mabeki wa Prison hawakuwa na uangalizi. Bao la Pili pia tunaona linapigwa shuti ambalo kipa anashindwa kabisa kulidaka lile shuti limepigwa mbele ya mabeki na viungo so pale kipa huwezi mlaumu Ila team nzima ya Prison ilizidiwa na Azam wamekuwa kwenye kiwango kikubwa Cha muendelezo wa ushindi SOPU wa bakharesa hapoi kwenye upachikaji wa magoli hapa usajili wao umelipa [ATTACH type="full"]1044[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Azam vs Tanzania Prison 3-0
Top
Bottom