Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZIZI KI AWAVUSHA YANGA HATUA YA MAKUNDI
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nasreddine Nabi alifanya mabadiliko madogo kwenye kikosi chake kilichoanza jana na Club Africain ya Tunisia kwenye mchezo wa kuwania kufuzu makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Kumtoa Sure Boy na kuingia Azizi KI.

Mechi hiyo ilileta ushindani mkubwa Katika mabadiliko hayo kiungo Stephane Aziz KI ambaye alianza kwenye kikosi mchezo uliochezwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na jana kwenye mechi ya marudiano alianzia benchi huku Feisal Salum akirudi kucheza namba yake 10.

Yanga iliingia kwenye mchezo huo ikihitaji ushindi au sare ya kufungana ili kuingia hatua ya makundi baada ya Novemba 9, kushindwa kufuzu ikiwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kufuatia kulazimishwa suluhu.

Azizi KI anafunga goli zuri pasi ikitokea kwa Fiston Mayele aliyoipiga kwa kichwa na kumfikia Azizi KI goli liliyopelekea ushindi kwa YANGA nakupata tiketi yakuingia hatua ya makundi.

Team zilizofanikiwa kuvuka hatua ya makundi ni pamoja na Yanga, AL Akhadar SC, Asfar Club, Real De Bamako, Asec Mimosas, Asko De Cara, DC Motema Pembe, Diables Noirs, FC Saint Eloi Lupopo, Future FC, Marumo Gallants FC, Pyramids FC, Rivers United FC, TP Mazembe, US Monistri.

[ATTACH=full]469[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1721, member: 464"] Nasreddine Nabi alifanya mabadiliko madogo kwenye kikosi chake kilichoanza jana na Club Africain ya Tunisia kwenye mchezo wa kuwania kufuzu makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Kumtoa Sure Boy na kuingia Azizi KI. Mechi hiyo ilileta ushindani mkubwa Katika mabadiliko hayo kiungo Stephane Aziz KI ambaye alianza kwenye kikosi mchezo uliochezwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na jana kwenye mechi ya marudiano alianzia benchi huku Feisal Salum akirudi kucheza namba yake 10. Yanga iliingia kwenye mchezo huo ikihitaji ushindi au sare ya kufungana ili kuingia hatua ya makundi baada ya Novemba 9, kushindwa kufuzu ikiwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kufuatia kulazimishwa suluhu. Azizi KI anafunga goli zuri pasi ikitokea kwa Fiston Mayele aliyoipiga kwa kichwa na kumfikia Azizi KI goli liliyopelekea ushindi kwa YANGA nakupata tiketi yakuingia hatua ya makundi. Team zilizofanikiwa kuvuka hatua ya makundi ni pamoja na Yanga, AL Akhadar SC, Asfar Club, Real De Bamako, Asec Mimosas, Asko De Cara, DC Motema Pembe, Diables Noirs, FC Saint Eloi Lupopo, Future FC, Marumo Gallants FC, Pyramids FC, Rivers United FC, TP Mazembe, US Monistri. [ATTACH type="full"]469[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
AZIZI KI AWAVUSHA YANGA HATUA YA MAKUNDI
Top
Bottom