Baada ya kocha wao wa zamani kukamatwa na madawa chapu Simba wamemtambulisha kocha mpya wa magoli kipa. Chlouha Zakaria

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Simba Baada ya taarifa kutoka kwamba kocha wao wa magoli kipa ambaye ni Muharimi Sultan amekamatwa na madawa ya kulevya, wametoa tamko sio kocha wao walimuomba kwa muda tu na hawana mkataba nae.

Yamepita masaa kadhaa Simba tena saa 9 Alasiri wamemtambulisha kocha mpya wa magoli kipa anaitwa Chlouha Zakaria kwenye page zao official za Twitter na Instagram.

Kuna nini kipo ndani ya klabu ya Simba ??