Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Bad day in the office kwa vijana kwenye mbio za ubingwa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bad day in the office kwa vijana..kwenye mbio za ubingwa hizo setbacks hutokea.

Leo kichowaua ni mfumo anaotumoa Dyche, kuanzia alivoteuliwa kuwa kocha wa Everton wengi walijua game itakuwa ngumu

Ana strong midfielders wawili Gana na Onana hao walitawala kiungo chote wakakata mashambulizi ya Arsenal mazima

Pia individua perfomances za key players wetu hazikuridhisha, Martinelli alikuwa out of game kabisa, Odegaard ndie alipaswa kuwa creative ila yeye ndie alikuwa anapoteza mipira.

Bukayo Saka akawekwa mfukoni na Mykolenko

Lastly ni walitengenza chances kibao ila wakashindwa zitumia. Wamekosa goli nyingi sana, Na cha mwisho ni ile tabia ya timu zote wakipata kocha mpya basi 1st game yao lazima iwe tough. POLENI SANA HIVI MNAJISKIA NDO CHELSEA WANAJISKIA KILA SIKU

EVERTON 1-0 ARSENAL

[ATTACH=full]1152[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3180, member: 464"] Bad day in the office kwa vijana..kwenye mbio za ubingwa hizo setbacks hutokea. Leo kichowaua ni mfumo anaotumoa Dyche, kuanzia alivoteuliwa kuwa kocha wa Everton wengi walijua game itakuwa ngumu Ana strong midfielders wawili Gana na Onana hao walitawala kiungo chote wakakata mashambulizi ya Arsenal mazima Pia individua perfomances za key players wetu hazikuridhisha, Martinelli alikuwa out of game kabisa, Odegaard ndie alipaswa kuwa creative ila yeye ndie alikuwa anapoteza mipira. Bukayo Saka akawekwa mfukoni na Mykolenko Lastly ni walitengenza chances kibao ila wakashindwa zitumia. Wamekosa goli nyingi sana, Na cha mwisho ni ile tabia ya timu zote wakipata kocha mpya basi 1st game yao lazima iwe tough. POLENI SANA HIVI MNAJISKIA NDO CHELSEA WANAJISKIA KILA SIKU EVERTON 1-0 ARSENAL [ATTACH type="full"]1152[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Bad day in the office kwa vijana kwenye mbio za ubingwa
Top
Bottom