Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Badala ya kuilipisha Simba, tuhoji zoezi la kubadili viti vya Uwanja wa Mkapa limeishia wapi?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya uwanja.

Cha ajabu viti vimeendelea kuchakaa na vingine kung'oka huku hakuna kilichofanyika mpaka sasa.

Baada ya tukio la mechi ya Simba vs CS Sfaxien, nimeshangaa kusikia eti Simba inatakiwa kulipa gharama za vile viti chakavu ambavyo nina uhakika vingine tayari vilikuwa vimeshang'oka. Hili jambo siyo sawa.

Inabidi tuhoji pesa yote ya marekebisho ya uwanja imeenda wapi mbona uwanja unaonekana bado uko vile vile zaidi ya running track ambayo sijawahi kuona ikitumika katika mashindano yoyote ya riadha? Running track imebaki kutumiwa na kina Harmonize, Dj Sinyorita na Dj Ally B wakiwa wanatumbuiza.

ZIADA 1: Sijawaelewa walinzi wa Uwanja wa Mkapa. Tukio la juzi na matukio mengine ya nyuma wanaonekana wako very disorganized, hawako fiti kimwili na ni kama wafanyakazi wasio na mafunzo, weledi wa kazi zao wala mfumo wa uongozi. Juzi walishindwa kabisa kucontrol situation ndogo kama ile ya watu wachache sana, wakabaki kukimbia kimbia kama wehu.

ZIADA 2: Uwanja wa Mkapa una security camera? Matukio kama ya juzi yakitokea, ni muhimu kutoa wazi video za tukio husika ili umma ujiridhishe chanzo na wahusika ni kina nani.

ZIADA 3: Wakati wa uzinduzi wa AFL, tuliambiwa Simba ilijitolea kulipia baadhi ya gharama za matengenezo ya uwanja ikiwemo pitch na vyumbani. Inakuwaje mdau wa karibu aliyefanya juhudi za kuheshimisha na kuutangaza uwanja, halafu linapotokea tukio ambalo lilikuwa nje ya uwezo wake achukuliwe kama mhalifu badala kulizungumza ili serikali ionyeshe inakumbuka mchango wake?

[QUOTE="Hammy36, post: 13623, member: 617"] Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya uwanja. Cha ajabu viti vimeendelea kuchakaa na vingine kung'oka huku hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Baada ya tukio la mechi ya Simba vs CS Sfaxien, nimeshangaa kusikia eti Simba inatakiwa kulipa gharama za vile viti chakavu ambavyo nina uhakika vingine tayari vilikuwa vimeshang'oka. Hili jambo siyo sawa. Inabidi tuhoji pesa yote ya marekebisho ya uwanja imeenda wapi mbona uwanja unaonekana bado uko vile vile zaidi ya running track ambayo sijawahi kuona ikitumika katika mashindano yoyote ya riadha? Running track imebaki kutumiwa na kina Harmonize, Dj Sinyorita na Dj Ally B wakiwa wanatumbuiza. ZIADA 1: Sijawaelewa walinzi wa Uwanja wa Mkapa. Tukio la juzi na matukio mengine ya nyuma wanaonekana wako very disorganized, hawako fiti kimwili na ni kama wafanyakazi wasio na mafunzo, weledi wa kazi zao wala mfumo wa uongozi. Juzi walishindwa kabisa kucontrol situation ndogo kama ile ya watu wachache sana, wakabaki kukimbia kimbia kama wehu. ZIADA 2: Uwanja wa Mkapa una security camera? Matukio kama ya juzi yakitokea, ni muhimu kutoa wazi video za tukio husika ili umma ujiridhishe chanzo na wahusika ni kina nani. ZIADA 3: Wakati wa uzinduzi wa AFL, tuliambiwa Simba ilijitolea kulipia baadhi ya gharama za matengenezo ya uwanja ikiwemo pitch na vyumbani. Inakuwaje mdau wa karibu aliyefanya juhudi za kuheshimisha na kuutangaza uwanja, halafu linapotokea tukio ambalo lilikuwa nje ya uwezo wake achukuliwe kama mhalifu badala kulizungumza ili serikali ionyeshe inakumbuka mchango wake? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Badala ya kuilipisha Simba, tuhoji zoezi la kubadili viti vya Uwanja wa Mkapa limeishia wapi?
Top
Bottom