Balde anataka kuendelea kubaki Barcelona

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Alejandro Balde kuhusu kuongezewa mkataba na Barcelona: "Wanafanyia kazi hilo. Nataka kubaki Barca”, aliiambia HelenaCondis.

"Kinachopaswa kutokea kitatokea", Balde aliongeza.

Mazungumzo tayari yanaendelea na yataendelea.
3DF7628A-6EBA-4D56-8CE0-595B85682500.jpeg
 
  • Like
Reactions: JohBwax