Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Barbara Arudi Simba?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Uongozi wa Simba upo kwenye mabadiliko ya ndani ambapo nafasi zinazohusishwa sana, ni nafasi ya CEO Iman Kajula ambaye amekubali kujiuzulu kwenye nafasi hiyo, pamoja na nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungenzi inayokaliwa na Salim Try Again.

Kuna mabadiliko kadhaa ambayo tayari yamefanyika ndani ya Simba, tena kwa siri kubwa ambapo Crescentius Magori na Swedy Nkwambi wamerudishwa na kupewa nafasi ya kusimamia kamati ya usajili wa timu hiyo.

hapo awali, Barbara aligoma kurudi Simba mpaka pale baadhi ya watu aliowataja kuwa hahitaji kufanya nao kazi, watakapoondoka ndiyo atarudi.

Kwa habari hizi ina maanisha kwamba, Barbara Gonzalez alichokitaka kimetimizwa na yupo huru kufanya kazi ndani ya miamba hiyo ya soka Tanzania na Afrika.

Enzi za utawala wake kabla hajatangaza kuachia kiti chake cha Ukurugenzi, Barbara Gonzalez alifanikiwa kwa kiasi chake kuipambania Simba ndani na nje ya Tanzania.

Mafanikio yake yalikuwa ni kutetea ubingwa wao kwa msimu wa 2020/21, Kuchukua kombe la Shirikisho na kufanya sajili bora kulinganisha na miaka ambayo yeye aliondoka.

Moja ya sababu iliyomuondoa Simba kipindi hicho, inaelezwa ni fitina za baadhi ya Viongozi na watu aliokuwa anafanya nao kazi, kitu kilichomfanya kushindwa kuvumilia na kujiuzulu nafasi yake.

[QUOTE="DeviMitupio, post: 4825, member: 2312"] Uongozi wa Simba upo kwenye mabadiliko ya ndani ambapo nafasi zinazohusishwa sana, ni nafasi ya CEO Iman Kajula ambaye amekubali kujiuzulu kwenye nafasi hiyo, pamoja na nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungenzi inayokaliwa na Salim Try Again. Kuna mabadiliko kadhaa ambayo tayari yamefanyika ndani ya Simba, tena kwa siri kubwa ambapo Crescentius Magori na Swedy Nkwambi wamerudishwa na kupewa nafasi ya kusimamia kamati ya usajili wa timu hiyo. hapo awali, Barbara aligoma kurudi Simba mpaka pale baadhi ya watu aliowataja kuwa hahitaji kufanya nao kazi, watakapoondoka ndiyo atarudi. Kwa habari hizi ina maanisha kwamba, Barbara Gonzalez alichokitaka kimetimizwa na yupo huru kufanya kazi ndani ya miamba hiyo ya soka Tanzania na Afrika. Enzi za utawala wake kabla hajatangaza kuachia kiti chake cha Ukurugenzi, Barbara Gonzalez alifanikiwa kwa kiasi chake kuipambania Simba ndani na nje ya Tanzania. Mafanikio yake yalikuwa ni kutetea ubingwa wao kwa msimu wa 2020/21, Kuchukua kombe la Shirikisho na kufanya sajili bora kulinganisha na miaka ambayo yeye aliondoka. Moja ya sababu iliyomuondoa Simba kipindi hicho, inaelezwa ni fitina za baadhi ya Viongozi na watu aliokuwa anafanya nao kazi, kitu kilichomfanya kushindwa kuvumilia na kujiuzulu nafasi yake. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Barbara Arudi Simba?
Top
Bottom