Barca ya Xavi imeleta idadi kubwa ya mashabiki Camp Nou msimu huu kuliko Pep Guardiola na timu zilizoshinda mara tatu za Luis Enrique

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Barca ya Xavi imeleta idadi kubwa ya mahudhurio Camp Nou msimu huu kuliko Pep Guardiola na timu zilizoshinda mara tatu za Luis Enrique 😲

🏟️ Xavi: 82,825 (wastani.)
🏟️ Pep: 79,192 (wastani.)
🏟️ Luis Enrique: 78,678 (wastani.)

Xavi Ikiwa atashindwa kushinda ligi basi atakuwa amekwenda Pep Gardiola au Luis Enrique watachukua nafasi yake...

Lakini anatakiwa afanye vizuri klabu itoe ligi msimu huu dhidi ya mfumo unaoihujumu Barca kwa kuipendelea Real Madrid.
Unahitaji kulinganisha enzi ya Bw mwanablogu

Idadi hiyo ya mashabiki wakati wa enzi za Pep na wachezaji wakubwa kikosini ikiwa sasa Camp Nuo haitawazuia na ikiwa Xavi atachukua kikosi hiki kucheza enzi hizo hatapata zaidi ya shabiki huyu

Miaka miwili iliyopita FC Barcelona walikuwa na msimu wao mbaya zaidi katika historia nzima ya klabu, wakienda kwa Europa league na kumaliza msimu bila taji lolote Kisha Xavi akaja na kubadilisha hali mbaya ya kilabu Miaka 2 baadaye na FC Barcelona bado wako kwenye Ligi ya Europa.


1675941431628.png