Barcelona.

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Wakapambana hadi dakika ya 120 lakini wapi, kifo hakijakwepeka
❌
Fc Barcelona wametolewa kwenye Copa Del Rey
❌
Fc Barcelona walitolewa kwenye Spanish Super Copa
❌
Fc Barcelona walitolewa kwenye Uefa Champions League
❌
Wapo nafasi ya sita kwenye Msimamo wa La Liga
🇪🇸


1642747125663.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
☑️
Ousmane Dembele ameshindwana na klabu yake ya Fc Barcelona juu ya makubaliano ya kuongeza mkataba mpya
Nyota huyo amelalamika kuhusu namna ambavyo Barça hawataki aendelee kuitumikia timu hiyo hadi atakapouzwa kwenda timu nyingine.
Zipo taarifa zilizosambaa kuwa kocha wa timu hiyo Xavi Hernandez amekasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumuondoa kabisa Dembele kwenye mipango yake licha ya uongozi wa Barça kusema kuwa Dembele anaumwa tumbo ndio maana hakufanya mazoezi ya mwisho kwaajili ya mchezo uliopita dhidi ya Alaves
Rais wa La Liga
🇪🇸
Javier Tebas amezungumzia suala hilo
"Hapana, hapana, sidhani kama Barcelona wamefanya chochote kinyume cha sheria,"
"Ninavyomjua Mateu Alemany (Mkurugenzi wa Barça) naamini kuwa hivyo ndivyo ilivyo, wamesema hakufanya mazoezi kutokana na ugonjwa wa tumbo. Natamani kungekuwa na watu kama Mateu Alemany katika soka.
Inaweza kuwa picha ya Watu 2
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Ujumbe wa Sergio Kun Aguero kwa Jordi Alba baada ya kufunga bao bora dhidi ya Atlético:
"Haya jamani. Nilitaka tu kukupigia simu ili kukupongeza kwa goli lako bora. Mchezo ulikuwa mzuri, nyote mlicheza vizuri sana
"Tupo jamani,tupo katika nafasi ya nne sasa,ngoja tuone kitakachotokea ila watu wa Argentina wanakupenda sana."
Inaweza kuwa picha ya Watu 3 na nyasi
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
ibaba Adama Traore:
➡️
Ametoa Assists mbili tu katika misimu miwili ya mwisho katika EPL
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

➡️
Ametoa Assists mbili katika mechi mbili za kwanza akiwa na Fc Barcelona huko La Liga
🇪🇸

Ni namna ya kumtumia tu!
😂

Inaweza kuwa picha ya Mtu 1
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
"Ni kama ilivyokuwa kwa Luis Suárez, alipata wakati mgumu wa kufunga mabao katika kipindi cha miezi kadhaa ya mwanzo lakini baadae akarejea akawa msaada mkubwa kwenye timu"
"Namuamini Ferrán, ni jambo la muda tu, atakuwa msaada mkubwa kwenye timu yetu"
Xavi Hernandez
Kocha wa Fc Barcelona
Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na maandishi
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

AUBAMEYANG APIGA MBILI BARCA YAITANDIKA REAL 4-0​

1506F458-495A-4276-B43E-7BB28F1FD35B.jpeg

TIMU ya Barcelona imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid katika mchezo wa La Liga Jumapili Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid.
Mabao ya Barcelona yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang mawili, dakika ya 29 na 51, Ronald Araujo dakika ya 38 na Ferran Torres dakika ya 57.
Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 54 katika mchezo wa 28 na kusogea nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi 12 na Real ambao pia wamecheza mechi moja zaidi.
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA FRANKFURT UJERUMANI​

E8972C14-ADD8-457A-8B89-90B5B69D36B3.jpeg


WENYEJI, Eintracht Frankfurt jana wamelazimishwa sare ya 1-1 na Barcelona katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League Uwanja wa Deutsche Bank Park Jijini Frankfurt, Ujerumani.
Frankfurt walitangulia kwa bao la Ansgar Knauff dakika ya 48, kabla ya Ferran Torres kuisawazishia Barca dakika ya 66.
Timu hizo mbili zilizoqngukia kwenye michuano hiyo kutoka Ligi ya Mabingwa, zitarudiana Aprili 14 Hispania na mshindi wa jumla atakutana na mshindi kati ya West Ham United ya England na Lyon ya Ufaransa.