Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Barcelona.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

AUBAMEYANG APIGA MBILI BARCA YAITANDIKA REAL 4-0

TIMU ya Barcelona imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid katika mchezo wa La Liga Jumapili Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid.

Mabao ya Barcelona yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang mawili, dakika ya 29 na 51, Ronald Araujo dakika ya 38 na Ferran Torres dakika ya 57.

Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 54 katika mchezo wa 28 na kusogea nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi 12 na Real ambao pia wamecheza mechi moja zaidi.

[QUOTE="Amir, post: 1280, member: 20"] [HEADING=2]AUBAMEYANG APIGA MBILI BARCA YAITANDIKA REAL 4-0[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIVSinaXGjp_eiin3qFD6SAT71RpM2aI35oxCHleEQ94AapoCYbL9y-SVj9qz8IICYhb_eOqjJQfL-Q5Ralg4LqmFk-mbaS5fexAInsOcM7k_tkjCjnok_Z9zHrpByn2-7RarXX9jyo4GlXZA1xAgKp0j0CfUwdlewaMr10-lxSjriJ31wvhVq-g3u/w640-h424/1506F458-495A-4276-B43E-7BB28F1FD35B.jpeg[/IMG] TIMU ya Barcelona imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid katika mchezo wa La Liga Jumapili Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang mawili, dakika ya 29 na 51, Ronald Araujo dakika ya 38 na Ferran Torres dakika ya 57. Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 54 katika mchezo wa 28 na kusogea nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi 12 na Real ambao pia wamecheza mechi moja zaidi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Barcelona.
Top
Bottom