Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Barcelona.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ousmane Dembele ameshindwana na klabu yake ya Fc Barcelona juu ya makubaliano ya kuongeza mkataba mpya

Nyota huyo amelalamika kuhusu namna ambavyo Barça hawataki aendelee kuitumikia timu hiyo hadi atakapouzwa kwenda timu nyingine.

Zipo taarifa zilizosambaa kuwa kocha wa timu hiyo Xavi Hernandez amekasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumuondoa kabisa Dembele kwenye mipango yake licha ya uongozi wa Barça kusema kuwa Dembele anaumwa tumbo ndio maana hakufanya mazoezi ya mwisho kwaajili ya mchezo uliopita dhidi ya Alaves

Rais wa La Liga  Javier Tebas amezungumzia suala hilo

"Hapana, hapana, sidhani kama Barcelona wamefanya chochote kinyume cha sheria,"

"Ninavyomjua Mateu Alemany (Mkurugenzi wa Barça) naamini kuwa hivyo ndivyo ilivyo, wamesema hakufanya mazoezi kutokana na ugonjwa wa tumbo. Natamani kungekuwa na watu kama Mateu Alemany katika soka.

[QUOTE="Amir, post: 547, member: 20"] [IMG alt="☑️"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t8d/1/16/2611.png[/IMG] Ousmane Dembele ameshindwana na klabu yake ya Fc Barcelona juu ya makubaliano ya kuongeza mkataba mpya Nyota huyo amelalamika kuhusu namna ambavyo Barça hawataki aendelee kuitumikia timu hiyo hadi atakapouzwa kwenda timu nyingine. Zipo taarifa zilizosambaa kuwa kocha wa timu hiyo Xavi Hernandez amekasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumuondoa kabisa Dembele kwenye mipango yake licha ya uongozi wa Barça kusema kuwa Dembele anaumwa tumbo ndio maana hakufanya mazoezi ya mwisho kwaajili ya mchezo uliopita dhidi ya Alaves Rais wa La Liga [IMG alt="🇪🇸"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t34/1/16/1f1ea_1f1f8.png[/IMG] Javier Tebas amezungumzia suala hilo "Hapana, hapana, sidhani kama Barcelona wamefanya chochote kinyume cha sheria," "Ninavyomjua Mateu Alemany (Mkurugenzi wa Barça) naamini kuwa hivyo ndivyo ilivyo, wamesema hakufanya mazoezi kutokana na ugonjwa wa tumbo. Natamani kungekuwa na watu kama Mateu Alemany katika soka. [IMG alt="Inaweza kuwa picha ya Watu 2"]https://scontent.fnbo1-1.fna.fbcdn.net/v/t39.30808-6/p526x296/272603838_5032251806834729_8556678925607620761_n.jpg?_nc_cat=106&ccb=1-5&_nc_sid=a26aad&_nc_ohc=wblitonTtbsAX_j3mjF&_nc_ht=scontent.fnbo1-1.fna&oh=00_AT8-fYdJmA_Oyu5uOGntGo0yuDiMxQli4p3dCmAzAPLXOg&oe=61F40B99[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Barcelona.
Top
Bottom